“Ubinadamu Katika Ukingo wa Ubinadamu Wake Wenyewe” – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni na James Alix Michel (Victoria, Shelisheli) Jumatano, Aprili 08, 2026 Inter Press Service VICTORIA, Shelisheli, Aprili 8 (IPS) – Tunaishi katika karne ya mafanikio ya ajabu. Ubinadamu umegawanya atomu, kuchora ramani ya jenomu, na kutuma wanaanga kwenda Mwezini, na mipango inaendelea kufikia Mirihi. Maarifa yetu yamepanuka, zana zetu zimekuwa na nguvu zaidi, na uwezo…

Read More

WAZIRI WA NISHATI DEOGRATIUS NDEJEMBI AAGIZA REA KUWEZESHA UZALISHAJI WA NISHATI SAFI

Na Farida Mangube, Morogoro  Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ameagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuandaa mpango madhubuti wa kuwawezesha wananchi kuzalisha nishati safi ya kupikia kwa kutumia pumba za mpunga. Agizo hilo limetolewa wakati wa ufunguzi wa kongamano la kitaifa la nishati safi lililofanyika mkoani Morogoro, likihusisha wadau kutoka Tanzania Bara na Zanzibar. Hatua…

Read More

Rais wa Shirikisho la Soka Kongo Afungwa Jela Maisha kwa Kashfa ya Fedha

shemeliezer shem March 11, 2026 0 Comments Jean-Guy Blaise Mayolas, Aliyekua Rais wa Shirikisho la soka Kongo Brazzaville (Kushoto), Gianni Infantino rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) Mahakama nchini Kongo Brazzaville imemkuta na hatia Rais wa Shirikisho la Soka la nchi hiyo, Jean-Guy Blaise Mayolas, kwa makosa makubwa ya kifedha yaliyohusisha utakatishaji…

Read More

China yatoa wito wa kusitisha mashambulizi dhidi ya Iran

Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeeleza wasiwasi wake kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran na kutoa wito wa kusitishwa mara moja kwa mapigano, ikizitaka pande zote kuepuka kuongezeka kwa mvutano na kurejea kwenye mazungumzo na majadiliano. Kwa mujibu wa Reuters, katika taarifa iliyotolewa Jumamosi, Februari 28, 2026, wizara hiyo ilieleza…

Read More