Maridhiano yatajwa kichaka kukwamisha Katiba Mpya

Dar es Salaam. Wadau hao wamesisitiza kuwa mchakato wa Katiba Mpya ni wa kisheria unaohitaji kuanza kwa kuwasilisha muswada wa sharia bungeni, hivyo haupaswi kuhusishwa moja kwa moja na matukio ya hivi karibuni, ikiwemo uchunguzi wa vurugu hizo. Hata hivyo, wengine wameeleza kuwa hatua zinazopendekezwa zinafanana na kuchomeka mambo ambayo hayahitajiki, hivyo kuweo uwezekano wa…

Read More

Cheza Leo, Pata Zawadi Kesho Na Win&Go Lucky Loser

MARA nyingi wabashiri wa michezo ya kasino hukutana na changamoto ya kupoteza licha ya kuchagua mchezo kwa umakini mkubwa. Lakini kupitia ubunifu wa Win&Go Lucky Loser, Meridianbet inaleta matumaini mapya kwa soko la wachezaji kwa kugeuza hasara ya leo kuwa ushindi wa kesho. Huu ni mfumo maalum unaobadilisha tiketi zisizofanikiwa kuwa fursa ya kujishindia hadi…

Read More

Polisi yawatawanya Bawacha kwa mabomu ya machozi Musoma

Musoma. Polisi Mkoa wa Mara wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi na wanachama wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), waliokuwa wanajaribu kukusanyika kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Awali, Bawacha walipanga kufanya maadhimisho hayo kitaifa mjini Musoma leo Jumapili, Machi 8, 2026 kabla ya Jeshi la…

Read More

Raoma, Vodacom Wazindua Mfumo wa Kidijitali ‘SOMO’ Chini ya Kampeni ya Twende Zetu Darasani

Taasisi isiyo ya kiserikali ya RAOMA Foundation kwa kushirikiana na kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania Plc leo wamezindua mfumo mpya wa kidijitali wa elimu unaoitwa SOMO, chini ya kampeni mpya ya Twende Zetu Darasani. SOMO ni mfumo wa kidijitali ulioundwa mahususi na Vodacom Tanzania Plc ili kusaidia ufundishaji na ujifunzaji wa masomo…

Read More

DKT. KIMAMBO AWAHIMIZA WATUMISHI WANAWAKE MUHIMBILI KUJITOA KWA DHATI KUBORESHA HUDUMA KWA WANANCHI

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Delilah Kimambo****** Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Delilah Kimambo, amewataka watumishi wanawake wa hospitali hiyo kujitoa kwa hali na mali katika utoaji wa huduma kwa wananchi wanaofika kupiga matibabu. Akizungumza katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika leo Machi 18,…

Read More