Video: Marekani Yaeleza Kwa Nini Haisindikizi Meli Mlango wa Hormuz
Global Publishers March 13, 2026 0 Comments WAZIRI wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth WAZIRI wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth ameeleza sababu ya kwa nini jeshi la Marekani bado halijaanza kusindikiza meli zinazopita katika Strait of Hormuz, licha ya mvutano mkubwa wa kijeshi katika eneo hilo. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika…