Kipa Mlandege aja na mawili ZPL

KIPA wa Mlandege ambayo ni bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Zanzibar, Hamad Ubwa ‘Baro’ amesema ana kibarua cha kutetea ubingwa na timu hiyo na kuwa kipa bora wa msimu. Pia, Baro amesema ana mkakati wa kuhakikisha anakuwa kipa bora kwenye msimu huu wa 2025-2026. Matumaini ya Mlandege kutetea ubingwa huo yapo katika mechi 10 zilizobaki…

Read More

Sintofahamu majumba Kikwajuni ilivyomalizwa | Mwananchi

Unguja. Hatimaye sintofahamu kati ya Serikali na wananchi wa nyumba za Kikwajuni imefikia tamati baada ya pande zote kukubaliana kupisha eneo hilo kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa nyumba za kisasa. Februari 4, 2026, Mwananchi liliripoti mvutano huo uliotokana na hofu ya wananchi kuondolewa bila uhakika wa kurejea baada ya mradi kukamilika….

Read More

Stanbic yashinda tuzo benki bora kwa wateja maalumu

Dar es Salaam. Benki ya Stanbic imeibuka kinara kwa kushinda tuzo tatu za kimataifa za Benki Bora ya Kimataifa kwa Wateja Maalumu, Benki Bora kwa Kizazi Kijacho, na Benki Bora kwa Huduma kwa Wateja. Ushindi huo unaonesha mchango wake katika kusaidia wateja wa Tanzania kujenga, kukuza na kulinda ukwasi wao kwa mtazamo wa muda mrefu…

Read More

Mvua zakwamisha ujenzi wa barabara, mbunge ang’aka

Tunduru. Ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 1.7 katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma, umeshindwa kukamilika kwa wakati kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika eneo hilo. Barabara zinazojengwa kwa kiwango cha lami ni kipande cha Boma–Mkwanda chenye urefu wa mita 700 na Mlingotini–Supermarket chenye urefu wa kilomita 1. Akizungumza mbele ya Mbunge…

Read More

MPANDA- KIGOMA KUUNGANISHWA KWA LAMI

****** Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imedhamiria kuufungua mkoa wa Katavi kwa barabara za lami ili kuchochea uchumi wa mikoa ya kanda ya magharibi. Akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi Dkt. Nchemba amesema nia ni kurahisisha huduma za usafiri na uchukuzi ili kukuza uchumi wa wananchi katika mwambao wa ziwa…

Read More

Rais Samia atoa Bilioni 15 Maboresho Shule ya Polisi Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu,Kilimanjaro Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa  Shilingi Bilioni 25 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa wakati wa Kikao cha Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi kilichofanyika mwaka 2024 lengo ikiwa kuifanyia maboresho Shule cha Polisi Kilimanjaro ambacho kinakabiliwa na uchakavu wa Majengo ambayo yalijengwa tangu  mwaka 1933…

Read More

Ubunifu wa Kijiografia Kushughulikia Mapengo Muhimu ya Data ya Maji huko Asia – Masuala ya Ulimwenguni

Kaya kadhaa zinaishi kando ya mto huko West Java, Indonesia. Data ya kijiografia ni muhimu katika kuboresha usimamizi wa rasilimali za maji. Credit: Pexels/Tom Fisk Maoni na Kareff Rafisura, Orbita Roswintiarti na Huang Qi (bangkok, Thailand) Ijumaa, Machi 20, 2026 Inter Press Service BANGKOK, Thailand, Machi 20 (IPS) – Kotekote Asia, mipango mipya inaonyesha jinsi…

Read More