Mwakitinya akata utepe mashindano Aweso Vijana Cup

…… Na: Mwandishi Wetu, Pangani Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Bara na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC), Mussa Mwakitinya, amezindua rasmi mashindano ya mpira wa miguu yaliyopewa jina la “Aweso Vijana Cup,” wilayani Pangani mkoani Tanga. Uzinduzi huo umefanyika Aprili 4, 2026, katika uwanja wa…

Read More

TPA yasimamisha ada mpya za uendelezaji hadi Julai 1

Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetangaza kusitisha matumizi ya ada ya uendelezaji wa miundombinu ya bandari (PID) iliyoanza utekelezaji Machi 8, 2026 na itaaanza tena kutumika Julai Mosi, 2026. Kusitishwa kwa utozaji ada hiyo kumetokana na maombi kutoka kwa wadau mbalimbali wa bandari walioomba kupatiwa muda zaidi kabla ya kuanza…

Read More

Maeneo ya fursa yanayoweza kuwakuza wanawake kiuchumi

Dar es Salaam. Wadau wa maendeleo wamebainisha maeneo muhimu yenye fursa yanayoweza kuongeza ushiriki wa wanawake katika shughuli za kiuchumi, ikiwemo kilimo chenye soko la uhakika ndani na nje ya nchi. Mbali na kilimo, wadau hao wanaweka wazi masuala ambayo yakifanyiwa kazi kikamilifu, yatasaidia wanawake kushiriki ipasavyo katika ukuzaji wa uchumi na kuwa na jamii…

Read More

AIR TANZANIA YASITISHA SAFARI ZA DUBAI

::::::::::: Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL), imetangaza kusitisha kwa muda safari zake za kwenda na kutoka Dubai, kutokana na kufungwa kwa anga la Mashariki ya Kati.  Katika taarifa kwa wateja iliyotolewa leo Februari 28, 2026, kampuni hiyo imesema imesitisha safari hizo hadi itakapotolewa taarifa nyingine na kwamba inaendelea kufuatilia kwa karibu hali ilivyo na…

Read More

SWADAKA NI NGAO NA KINGA YA MADHAMBI KWA MWENYE KUITOA KWA AJILI YA ALLAH – MISANGA

Taasisi ya Ramadhan Charity Programme 2026 imewataka Watanzania kutumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa wamoja, kusaidiana na kufanya kazi kwa pamoja katika kuwasaidia watu wenye uhitaji katika jamii. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Ramadhan Charity Programme 2026, Ahmed Misanga, wakati akikabidhi sadaka ya iftar katika kituo cha Jaamiul-Furouq, kilichopo wilayani Manyoni mkoani Singida. Misanga amesema…

Read More

Hasheem Thabeet kuanza na haya kikapu

RAIS mpya wa TBF, Hasheem Thabeet amesema mambo mazuri yanakuja baada ya kuchaguliwa kuliongoza shirikisho hilo la mpira wa kikapu nchini akigusia ligi ya kikapu kupigwa mikoa yote. Thabeet ambaye ni mchezaji wa zamani wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya NBA alisema ligi ambayo ni maarufu nchini kwa sasa ni ya Dar Es Salaam…

Read More