Huduma za afya CCBRT zatikiswa, sababu zatajwa

Dar es Salaam. Dalili za kuyumba kwa baadhi ya huduma zimeanza kuonekana katika Hospitali ya CCBRT, inayojulikana kwa huduma za matibabu maalumu ya wenye ulemavu na uzazi kutokana na changamoto za kifedha. Ugumu unaopitiwa na hospitali hiyo iliyopo Msasani jijini Dar es Salaam, ni katika utoaji wa huduma bure kwa watu wenye matatizo ya macho,…

Read More

NYAVU HARAMU ZANASWA CHATO, WAZIRI ATOA MAELEKEZO.

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetangaza azma ya kuanzisha chombo maalum kitakachosimamia rasilimali za uvuvi, lengo likiwa ni kulinda mazao yanayotokana na Ziwa Victoria dhidi ya uharibifu. Hatua hii imekuja baada ya wataalamu wa wizara hiyo waliopelekwa wilayani Chato kutoa elimu kwa vitendo, kubaini kuwepo kwa wimbi kubwa la uvuvi haramu katika eneo…

Read More