Wasomi na watu mashuhuri walaani ya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Wasomi na watu mashuhuri kutoka maeneo mbalimbali ya dunia wamelaani na jinai zinazofanywa na Marekani na Israel dhidi ya watu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Muhammad Sade al Hashemi ambaye ni Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti cha Iraq, ametuma ujumbe kwenye mitandao ya kijamii akilaani vikali ya Marekani na Israel nchini Iran. Al Hashemi…