Matunda 9 Yanayosaidia Kupunguza Mafuta ya Tumbo

Baadhi ya matunda kama zabibu (grapefruit), nanasi, parachichi na kiwi yanaweza kusaidia kupunguza mafuta ya tumbo kutokana na kuwa na nyuzi za lishe (fiber), vimeng’enya (enzymes) na virutubisho vingine muhimu. Kwa mujibu wa The Times of India, matunda kwa asili yana kalori chache na fiber nyingi, hali inayosaidia kudhibiti njaa kwa kukufanya ujisikie umeshiba kwa…

Read More

Mfumo mpya kuajiri madereva kidijitali Afrika, wazinduliwa Tanzania

Dar es Salaam. Tanzania imepata bahati kuwa nchi ya kwanza Afrika kuzindua mfumo mpya wa kidijitali wa DriverLinkAfrica, unaotumika kuajiri madereva wenye sifa kitaaluma na ubora unaotajwa utabadilisha sekta ya usafiri na usafirishaji. Mfumo huo unaotumia aplikesheni maalumu ambayo kampuni zitajiunga kwa ajili ya kuajiri madereva waliojisajili utasaidia kupata madereva bora, wenye sifa zote hitajika,…

Read More

Sasa utaweza ‘ku-edit comment’ yako Instagram

Dar es Salaam. Mtandao wa kijamii wa Instagram umetangaza kuja na kipengele kipya ambacho kitawawezesha watumiaji wake kufanya marekebisho ya maoni wanayoyaandika kwenye machapisho mbalimbali. Hatua hiyo imekuja ikiwa ni majibu ya hitaji la muda mrefu la watumiaji wa mtandao huo ambao awali walilazimika kufuta maoni yaliyokuwa na makosa na kuandika upya. Hata hivyo, huduma…

Read More

Vyombo vya ukandamizaji vya Jimbo la Venezuela ‘zisizobadilika’ licha ya mabadiliko ya uongozi – Masuala ya Ulimwenguni

“The miundo ambayo imeendeleza mateso kwa miaka mingi haijavunjwa, wala sera za Serikali hazijatangazwa kuanza mchakato huo.”, Ujumbe wa Kimataifa wa Kutafuta Ukweli kwa Venezuela ulisema katika a taarifa iliyotolewa Jumatano. Ujumbe huo ulianzishwa ili kutathmini madai ya ukiukaji wa haki za binadamu nchini Venezuela uliofanywa tangu 2014. Tangu kukamatwa kwa Maduro mnamo Januari 3,…

Read More

RC CHALAMILA AANDAA IFTAR MAALUM

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Februari 27,2026 ameandaa Iftar maalum kwa wakazi wa Mkoa huo hafla ambayo imefanyika katika ukimbi wa Diamond Jubilee. Katika hafla hiyo viongozi mbalimbali wa Dini na Serikali pamoja na wananchi kutoka maeneo tofauti ya Jiji la Dar es Salaam wamehudhuria. Mgeni rasmi katika tukio…

Read More

KATIBU MKUU RAMEPRO,BONIVENTURA MWALONGO SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO CHA MAREHEMU KARDINALI PENGO

Kwa masikitiko makubwa na huzuni nzito, tumepokea taarifa ya kifo cha Mwadhama Polycarp Cardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Marehemu alikuwa mchungaji mwaminifu na kiongozi mwenye hekima na busara, aliyeilitumikia Kanisa na Taifa kwa uaminifu mkubwa, akiacha alama isiyofutika katika mioyo ya wengi. Kwa niaba yangu binafsi na kwa…

Read More

SERIKALI YAWAPA VIJANA NJIA YA MASOKO YA KIMATAIFA

“”””””” **** Serikali imeanzisha mpango maalumu wa kuwaandaa vijana kuwa wawekezaji wakubwa kwa kuwapa mafunzo ya uzalishaji wa kisasa na kuwaunganisha moja kwa moja na masoko ya kimataifa, hatua inayolenga kuimarisha biashara ya nje na kukuza uchumi wa viwanda nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa…

Read More