Dar City yabeba matumaini BAL

SERIKALI ya Tanzania imesema imejipanga kuendeleza sekta ya michezo nchini, hususan mpira wa kikapu, kufuatia hatua ya taifa kuandika historia kwa kushiriki mashindano ya Afrika (BAL) kwa mara ya kwanza ikiwakilishwa na Dar City ambayo imebeba matumaini ya kufanya vizuri. Akizungumza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam…

Read More

Ukimya wa Inter Milan Wazaa Matokeo Makubwa Serie A

Vinara wa SERIE A, Inter Milan wameendelea kuwa na wakati mzuri baada ya kuendelea kufanya vizuri kwenye mashindano hasa ya ndani. Bashiri mechi zote za Inter na Meridianbet leo. Kulikuwa na kitu tofauti kidogo kuhusu Inter msimu huu. Si kelele nyingi, si presha za nje  bali ukimya wa timu inayojitafuta upya. Kuanzia raundi za mwanzo…

Read More

Wanaotumia vibaya vyandarua vya msaada waonywa

Morogoro. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adamu Malima amekemea tabia ya baadhi ya watu kuchukua vyandarua wanavyogawiwa bure na Bohari ya Dawa (MSD) na kuvigeuza mabanda ya kufugia kuku, ama nyavu za kuvulia samaki. Kufuatia hilo, Malima amewataka    wakuu wa wilaya zote mkoani humo kufuatilia kwa karibu matumizi sahihi ya vyandarua hivyo. Malima ameyasema hayo…

Read More

Tanzania yatumia Sh23 bilioni kuagiza maziwa nje ya nchi

Morogoro. Wakati Tanzania ikijivunia kuwa na idadi kubwa ya mifugo, bado inalazimika kutumia zaidi ya Sh23 bilioni kila mwaka kuagiza wastani wa lita milioni 11.6 za maziwa kutoka nje ya nchi. Hali hiyo inayochangiwa na changamoto za ubora ambapo miundombinu na elimu kwa wadau wa sekta maziwa ni vikwazo vinavyosababisha maziwa kukosa ubora. Akizungumza katika…

Read More