Dereva mbaroni kwa kusafirisha wahamiaji haramu

Njombe. Jeshi la polisi mkoa wa Njombe linamshikilia Sipha Credo Mgonde (47) ambaye ni dereva na mkazi wa Mbagala  jijini Dar es salaam kwa tuhuma za kusafirisha wahamiaji haramu ambao wanatajwa kuwa ni raia wa kigeni kutoka huko nchini Ethiopia. Dereva huyo amekamatwa katika Kijiji cha Mtewele kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe huko mkoani…

Read More

WANAWAKE WA UWT KIBAHA MJI WAANZA KUTEMA CHECHE BAADA YA USHINDI WA KISHINDO KATIKA UCHAGUZI MKUU

NA VICTOR MASANGU,KIBAHA Jumuiya ya umoja wa wanawake (UWT)  Wilaya  ya  Kibaha mjini katika kukiimarisha chama imeamua kufanya ziara maalumu yenye lengo la kuwashukuru  na kuwapongeza  wanawake kwa umoja wao na mshikamao waliouonyesha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 na kupelekea chama cha mapinduzi (CCM)  kuweza  kushinda kwa kishindo katika nafasi za Udiwani, Ubunge pamoja…

Read More

Othman: Mazungumzo kutafuta mwafaka Zanzibar yamepiga hatua

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema kuna hatua kubwa ya mafanikio kuhusu mazungumzo ya kisiasa ya kutafuta suluhu ya mgogoro uliopo Zanzibar. Vyama vya ACT- Wazalendo na Chama cha Mapinduzi (CCM) vipo katika mazungumzo ya kutafuta mwafaka wa kisiasa baada ya uchaguzi wa Oktoba 29,2025, uliolalamikiwa na chama hicho kikuu cha…

Read More