KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAPONGEZA UJENZI WA GETI HIFADHI YA TARANGIRE
……… Na. Sixmund Begashe, Babati Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Serikali kwa ujenzi wa lango la Mamire (Geti) la kuwawezesha watalii wa ndani na nje kuingia katika Hifadhi ya Taifa Tarangire kwa kupitia Babati Mkoani Manyara. Akizungumza baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii…