Migomo inaendelea kote katika eneo kadiri mahitaji ya kibinadamu yanavyoongezeka – Masuala ya Ulimwenguni

© UNHCR Moshi na uchafu kutoka kwa jengo katika kitongoji cha Bashura huko Beirut, Lebanon, baada ya shambulio la anga. Jumatatu, Aprili 06, 2026 Habari za Umoja wa Mataifa Mashambulio na mashambulio ya kivita yanaendelea katika eneo la Mashariki ya Kati, huku makumi ya majeruhi wakiripotiwa mwishoni mwa juma nchini Lebanon kufuatia mashambulizi ya Israel…

Read More

Takukuru ilivyookoa Sh51 milioni Shinyanga

Shinyanga. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Shinyanga, imeokoa Sh51.75 milioni, ikiwa ni thamani ya vifaa vya ujenzi wa miradi ya maendeleo, huku ikiendelea na uchunguzi wa mzabuni aliyenunua vifaa bila kuviwasilisha katika mradi. Hayo yamethibitishwa leo Jumatano, Machi 4, 2026, na Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Shinyanga, Donasian Kessy, wakati…

Read More

Taarifa kwa Umma Kuhusu Ongezeko la Bei za Mafuta.

Dar es Salaam, Tanzania  Tunatambua ongezeko kubwa la hivi karibuni la bei za mafuta ambalo limeongezeka kwa asilimia 33. Kama jukwaa linalolenga kusawazisha unafuu wa nauli kwa abiria na mapato endelevu kwa madereva, tunaendelea kushirikiana na mamlaka husika pamoja na wadau wengine kutathmini athari kamili za mabadiliko haya. Miongoni mwa hatua zinazoweza kuchukuliwa kufuatia mashauriano…

Read More

UJENZI WA BARABARA YA KAHAMA – BULYANHULU JCT – KAKOLA NI UWEKEZAJI WA KUDUMU WA BARRICK

Mchakato wa kumwaga lami katika barabara ya Kahama-Kakola inayojengwa kwa uwezeshaji wa kampuni ya Barrick nchini ukiendeleaMchakato wa kumwaga lami na kuisambaza ukiendeleaMsimamizi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama-Kakola kutoka Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mhandisi Marco Bee, akiongea kuhusu maendeleo ya ujenzi huo unaotekelezwa kwa ufadhili wa kampuni ya Barrick nchini.Msimamizi Msaidizi kutoka kampuni…

Read More

Mgambo wadaiwa kumuua raia Mwanza

Mwanza/Dar. Utata umeibuka kuhusu taarifa ya chanzo cha kifo cha Rashid Nyandonga (31), kufuatia ukinzania baina ya kinachoelezwa na Polisi Mkoa wa Mwanza dhidi ya maelezo ya familia na mashuhuda. Wakati polisi wakisema amefariki dunia baada ya kuishiwa nguvu akiwa mikononi mwa askari mgambo, familia na mashuhuda wamedai kuwa, umauti wake umesababishwa na kipigo cha…

Read More

Rekodi mbili za Laizer Fountain Gate

USHINDI wa bao 1-0, ilioupata Fountain Gate dhidi ya Mbeya City katika mechi ya Ligi Kuu Bara, iliyopigwa Machi 3, 2026,  kwenye Uwanja wa Sokoine jijini, Mbeya, umemfanya kocha wa timu hiyo, Mohamed Ismail ‘Laizer’ kuandika rekodi mbili mpya, baada ya mwenendo usioridhisha wa matokeo. Rekodi ya kwanza ambayo Laizer ameiweka sambamba na timu hiyo,…

Read More

Nguvu ya jua katika ujenzi wa uchumi wa bluu

Kuna methali ya Kiswahili inayosema, “Samaki mkunje angali mbichi.” Tunaielewa vyema maana yake ni kushughulikia fursa au tatizo mapema kabla halijawa gumu. Leo, katika zama hizi za mabadiliko ya tabianchi na msukosuko wa kiuchumi, tunaweza kuitumia kuelezea jambo lingine: tunapaswa kukumbatia nishati mbadala mapema ili kuufikia ustawi wa bahari zetu, ambao tunauita “Uchumi wa Bluu.”…

Read More