Mtakwimu aonya matumizi mifumo ya akili unde
Dodoma. Zaidi ya vijana 713 na wasimamizi 69 wamepata ajira za muda katika Ofisi ya Taifa ya Takwimu, huku wakionyeshwa onyo la kutotumia mifumo ya akili unde (AI) kupika takwimu kwa kuwa shughuli zao zinafuatiliwa katika kila hatua. Onyo hilo limetolewa jana jioni Machi 11, 2026 na Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Amina Msengwa, wakati akizungumza…