Chamou aendeleza rekodi dhidi ya Namungo
BEKI wa kati wa TRA United, Chamou Karaboue, ameendeleza rekodi bora katika Ligi Kuu Bara msimu huu, baada ya nyota huyo kufikisha mabao mawili, ambayo yote ameyafunga dhidi ya ‘Wauaji wa Kusini’, Namungo, huku akichezea timu mbili tofauti. Nyota huyo anayeichezea TRA United kwa mkopo akitokea Simba, alianza kufunga akiwa na kikosi hicho cha Msimbazi,…
Dalali wa Mahakama akamatwa, agizo la Dk Mwigulu halijatekelezwa
Arusha. Zikiwa zimepita siku 17 tangu agizo la Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba la kurejeshwa mali za mfanyabiashara wa Arusha, Josephine Shirima, mali hizo bado hazijarudishwa huku Jeshi la Polisi likimshikilia dalali wa Mahakama anayedaiwa kuhusika katika kuchukuliwa kwa mali hizo. Aidha, Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wilaya ya Arusha, Dominic Mollel, aliyekuwa anashikiliwa na polisi kwa…
MAKAMU WA RAIS DKT.NCHIMBI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CUBA NCHINI TANZANIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amefanya mazungumzo na Balozi wa Cuba nchini Tanzania Mhe. Yordenis Despaigne Vera, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 12 Machi 2026. Mazungumzo hayo, yamelenga kuimarisha uhusiano wa muda mrefu wa Tanzania na Cuba, ambao unatimiza miaka 64. Cuba na Tanzania…
Singida alenga ushindi dhidi Mbeya City
BAADA ya kudondosha pointi sita katika mechi mbili Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga na Simba, kocha wa Singida Black Stars, David Ouma amewataka wachezaji wake kusahau matokeo hayo na kuelekeza nguvu katika mchezo dhidi ya Mbeya City. Ouma alisema licha ya kupoteza michezo hiyo migumu anaamini kikosi chake kilionyesha kiwango kizuri na kilistahili kupata…
TANZANIA YAJINADI UIMARISHAJI USAWA WA KIJINSIA NA UPATIKANAJI WA HAKI KWA WANAWAKE MKUTANO WA CSW 70.
Na WMJJWM New York Marekani Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza mshikamano wake na nchi wanachama wa jumuiya ya kimataifa katika kuendeleza ajenda ya usawa wa kijinsia duniani. Akizungumza katika mkutano wa 70 wa kimataifa kuhusu masuala ya wanawake na haki, mwakilishi wa Tanzania katika Mkutano huo Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,…
Mahakama Kuu Yaamuru Kufungwa kwa Sahara Media Group Limited
Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara imeamuru kufungwa kwa kampuni ya Sahara Media Group Limited, iliyojishughulisha na vyombo vya habari, matangazo na huduma za uchapishaji, kutokana na hali mbaya ya kifedha. Uamuzi huo umetolewa na Jaji Dk. Mwajuma Kadilu baada ya kuridhia ombi la kufilisi lililowasilishwa na kampuni yenyewe. Ombi hilo liliungwa mkono na kiapo cha…
Ziara ujumbe wa Congo yafungua matumaini ya soko la mahindi
Dar es Salaam. Wakulima wa Tanzania, sasa kupata uhakika wa soko la mahindi baada ya ujumbe wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi kukagua na kuridhishwa na ubora wa bidhaa hiyo. Ujumbe huo wa watu tisa umetua nchini leo Alhamisi Machi 12, 2026 na kwenda moja kwa moja kwenye ghala la…
WANANCHI WANA MATUMAINI MAKUBWA NA SERIKALI KUPITIA REA–MHANDISI SAIDY
Na Maandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi, Hassan Saidy amesema Wananchi hususan wanaoishi vijijini wana matumaini na Serikali kupitia REA katika kuwaboreshea hali ya maisha na amewataka Watumishi wa Wakala kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii, uadilifu na maarifa ili kutimiza malengo ya Serikali kuhudumia wananchi wake. Ametoa rai hiyo Machi…
STAMICO YAJIPANGA KUONGEZA VIWANDA VYA UZALISHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) imejipanga kuhakikisha matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kupitia mradi wa Rafiki Briquete yanaongezeka katika mikoa mbalimbali nchini ili kufikia asilimia 86 ya matumizi ya Nishati Safi ifikapo mwaka 2030. Hayo yameelezwa leo Machi 12, 2026 Mkoani Tabora na Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa, wakati…