Kocha Laizer aweka mikakati Fountain

BAADA ya mwenendo mbaya wa matokeo ya Ligi Kuu Bara hadi sasa, Kocha wa Fountain Gate, Mohamed Ismail ‘Laizer’ amesema kazi kubwa aliyonayo katika kikosi hicho ni kutengeneza saikolojia ya wachezaji ili wafanye vizuri kwa mechi zijazo. Akizungumza na Mwanaspoti, Laizer amesema wachezaji wa timu hiyo wanatengeneza nafasi nyingi za kufunga, ingawa suala nzima la…

Read More

Chadema yaanzisha kampeni kushinikiza kuachiwa Lissu

Dar es Salaam. Wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maedeleo (Chadema), Tundu Lissu, akitimiza mwaka mmoja akiwa mahabusu, chama chake kimetangaza kuanzisha kampeni maalumu kupitia mitandao ya kijamii pamoja na kubandika matangazo katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi, kikishinikiza aachiwe huru. Chama hicho kimesema hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za kuhamasisha…

Read More

Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 – Haki kwa Wanawake na Wasichana Inahitaji Hatua na Utashi wa Kisiasa – Masuala ya Ulimwenguni

Anne Hathaway, Balozi wa Umoja wa Mataifa wa Nia Njema kwa Wanawake, akihutubia Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake ya 2026 ya Umoja wa Mataifa kuhusu mada: ‘Haki, Haki, Hatua kwa Wanawake na Wasichana WOTE.’ Credit: UN Photo/Evan Schneider na Naureen Hossain (umoja wa mataifa) Jumatatu, Machi 09, 2026 Inter Press Service UMOJA WA…

Read More

Ndejembi: Serikali inapambana kuondoa vikwazo matumizi ya nishati safi ya kupikia

Morogoro. Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema Serikali inaendelea kushughulikia changamoto za miundombinu zinazokwamisha usambazaji na matumizi ya nishati safi ya kupikia, hasa vijijini na pembezoni mwa miji. Akizungumza leo Machi 17, 2026 mkoani Morogoro wakati wa kufungua kongamano la wadau wa nishati safi ya kupikia lililoandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Wizara…

Read More

SMZ yatumia Sh38 bilioni kulipa fidia wananchi

Unguja. Serikali imesema Sh38 bilioni zimetumika kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na miradi mbalimbali ya maendeleo katika maeneo yao kisiwani hapa. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu, Machi 2, 2026, na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohamed, katika mkutano na waandishi wa habari kuelezea mafanikio ya siku 100 za Rais wa Zanzibar, Dk…

Read More

Waongoza watalii watakiwa kuchukua tahadhari

Serengeti. Wakati Serikali ikiendelea kuchukua hatua za kukabiliana na athari za mvua zinazoendelea kunyesha, waongoza watalii wametakiwa kuchukua tahadhari wanazopewa na vikosi vya uokozi katika maeneo korofi katika Hifadhi ya Taifa Serengeti. Mamkala ya hifadhi hiyo imesema itaendelea kuhakikisha shughuli za utalii zinaendelea kama kawaida huku usalama wa watumiaji wa barabara, wakiwemo watalii, wanaowaongoza na…

Read More

Diwani Ndule Ashukuru Global TV Kusaidia Kurejesha Mwili wa Veronika Nyamwendo – Video

Global Publishers March 24, 2026 0 Comments Diwani wa Kata ya Vighawe, Mpwapwa mkoani Dodoma, Emmanuel Ndule ameishukuru Global TV kwa jinsi ilivyosimamia suala la mwili wa Mtanzania Veronika Nyamwendo aliyefariki dunia akiwa Oman, unarudishwa nchini na kwenda kuzikwa kijijini kwao. Amesema Global TV inasaidia wanyonge na kuiomba serikali iangalie namna ya kuishika mkono. Pia…

Read More

Mbunge ataka uwajibikaji kwa mawaziri wenye majibu yasiyo na tija

Dodoma. Suala la uwajibikaji wa watumishi wa umma katika kushughulikia kero za wananchi na kusimamia utekelezaji wa maagizo ya viongozi wa kitaifa, leo limeelekezwa pia kwa mawaziri na naibu mawaziri, wakitakiwa kutoa majibu yenye utekelezaji wanapojibu hoja za wabunge bungeni. Hatua hiyo imekuja kufuatia baadhi ya wabunge kueleza kutoridhishwa na majibu wanayopewa na mawaziri, wakidai…

Read More