WANANCHI DULUTI WAIBUKA NA MKAKATI WA KUPANDA MITI KULINDA BARABARA
📌Miundombinu mipya imerahisisha usafirishaji wa vikonyo vya mimea na kuchochea maendeleo Arumeru Arumeru, Arusha Wananchi wa kijiji cha Duluti wilayani Arumeru mkoani Arusha wameweka mkakati wa kupanda miti kandokando ya barabara mpya ya lami ya Sangisi-Nambala yenye urefu wa Km 4.2 iliyojengwa katika eneo hilo ili kulinda miundombinu dhidi ya mmomonyoko wa ardhi na kuhakikisha…