Dube atua anga za Wasauzi

UONGOZI wa Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini, umeanza kumfuatilia mshambuliaji nyota wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, Mzimbabwe, Prince Dube, ambaye mkataba wake na kikosi hicho unafikia tamati mwishoni mwa msimu huu. Taarifa kutoka Afrika Kusini zinaeleza kuwa mabosi wa timu hiyo wanaangalia uwezekano wa kumpata mshambuliaji huyo, baada ya kupata ugumu…

Read More

JKU yajiandaa mechi 10 za mwisho kuimarisha mbio za ubingwa

JKU imetamba mafanikio yanayopatikana ni kutokana na nidhamu iliyopo baina ya wachezaji na viongozi na wanachofanya hivi sasa ni kuhakikisha wanarudisha ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar. Akizungumza na Mwanaspoti, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Ali Bakari alisema mbinu inazozitumia timu kutafuta matokeo ndizo zilizowafikisha hapo na wala hawana mpango wa kurudi nyuma zaidi ya kuwania…

Read More

Tanzania yawahakikishia wawekezaji mfumo bora wa kodi

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imewahakikishia wawekezaji kuwepo kwa mazingira bora, ya haki na yanayotabirika katika mfumo wa kodi kufuatia dhamira ya kutekeleza kikamilifu mapendekezo 284 ya maboresho ya mfumo wa kodi yaliyoanzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Uhakikisho huo umetolewa wakati wa Mkutano wa Kubadilishana Uzoefu na Mafunzo ya Kodi kati ya Tanzania…

Read More

Mjadala wa ubora wa wahitimu wawekwa mezani

Dar es Salaam. Wakati mjadala kuhusu ubora wa wahitimu wanaozalishwa na vyuo vikuu nchini ukiendelea kushika kasi, Serikali imeitaka Bodi mpya ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuimarisha usimamizi na mifumo ya uthibiti wa ubora wa elimu ya juu ili kuendana na mahitaji ya soko la ajira. Kauli hiyo imetolewa leo Machi 6, 2026,…

Read More

Usingizi; kinga ya afya ya akili, kimwili

Dar es Salaam. Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Usingizi leo Ijumaa, Machi 13, 2026, tafiti mbalimbali za afya zimebainisha umuhimu wa usingizi bora kwa afya ya mwili na akili. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali na dondoo za afya, usingizi ni sehemu muhimu ya maisha ya binadamu kama ilivyo lishe bora na mazoezi ya mwili. Usingizi…

Read More

Ushindani sokoni unavyoshusha bei, kuchochea ubunifu

Ni rahisi kuona kampuni kubwa zikishindana na kudhani lengo lao ni kuumizana. Lakini tukilitazama kwa jicho pana, ushindani wa kibiashara si vita ya kuangamiza bali ni nguvu inayowanufaisha wateja. Ukiwa na usimamizi mzuri, ushindani huwa kama fadhili iliyojificha unasukuma ubora juu, bei chini, na ubunifu mbele. Fikiria simu ya mkononi uliyonayo. Kila mwaka kampuni kubwa…

Read More