Sheria mpya za soka 2026 kupiga vita kupoteza muda

MABADILIKO ya sheria za soka ambazo kimsingi zitaanza kufanya kazi wakati wa Kombe la Dunia 2026 kabla ya kuhamia karika ligi mbalimbali, yamemuibua mkufunzi wa waamuzi nchini, Soud Abdi ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi Tanzania, akisema yataondoa tabia ya janjajanja ya kupoteza muda ambayo imekuwa ikiharibu ladha ya mchezo. Akizungumza kuhusu…

Read More

TBS yaanza ujenzi wa maabara Kanda ya Kaskazini

Arusha. Shirika la Viwango nchini (TBS) limeanza mchakato wa ujenzi wa maabara katika Kanda ya Kaskazini kwa ajili ya kupima ubora wa bidhaa itakayorahisisha utendaji kazi wa shirika hilo na kupunguza muda uliokuwa unatumika kupeleka sampuli za bidhaa jijini Dar es Salaam. Meneja wa TBS Kanda ya Kaskazini, Joseph Ismail amesema hayo jana Ijumaa, Machi…

Read More

Chama la Samatta hatarini kushuka daraja

KLABU ya Le Havre AC anayoichezea mshambuliaji wa Kitanzania, Mbwana Samatta iko kwenye nafasi mbaya na hatari ya kushuka daraja kama haitashtuka mwishoni. Le Havre iko nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi, nafasi ambayo siyo salama kutokana na tofauti ndogo ya pointi na timu zinazopigania kubaki kwenye ligi hiyo. Timu hiyo imekusanya pointi 26…

Read More

Wamachinga waliyoondolewa mitaa ya Uhuru na Msimbazi, Kariakoo

Dar es Salaam. Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imewaondoa wamachinga waliokuwa wakifanyabiashara katika barabara za Uhuru na Msimbazi, eneo la Kariakoo, katika utekelezaji wa tangazo lililotolewa awali kuwataka kuondoka katika maeneo yasiyoruhusiwa. Hatua hiyo ni utekelezaji wa tangazo lililotolewa na Mkurugenzi wa Jiji, Elihuruma Mabelya, Februari 17, 2026, lililobandikwa katika mitaa mbalimbali ya…

Read More

Walimu hawana miujiza kumbadili mwanao

Dar es Salaam. Katika jamii nyingi za leo, imezuka dhana potofu kwamba kazi ya kulea watoto ni ya walimu. Wazazi wengi wamejikuta wakitelekeza jukumu lao la msingi, wakikabidhi watoto wao kwa walimu kana kwamba shule ndiyo nyumba ya pili ya mtoto kwa kila jambo. Mtoto anaposhindwa kimaadili au kielimu, lawama huelekezwa kwa walimu kwa haraka mno,…

Read More

Ajali yaua wanne Rombo wakitokea matembezini

Rombo. Vijana wanne ambao ni mafundi ujenzi wamefariki dunia baada ya pikipiki waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na gari aina ya Noah eneo la Shimbi, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro. Vijana hao wenye umri kati ya miaka 19-20 ni wakazi wa Kijiji cha Shimbi Masho, Kata ya Kwa Ndele, walikuwa wanatokea matembezini. Akizungumza na…

Read More