MAKAMU WA RAIS DKT.NCHIMBI AWASIHI VIONGOZI WA DINI. NA WATANZANIA KUIOMBEA NCHI,VIONGOZI WA SERIKALI NA VYAMA VYA SIASA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasihi Viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla kutumia mwezi wa toba wa Ramadhani na Kwaresma kuiombea Nchi, Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa ili kujenga nchi moja yenye upendo na mshikamano. Makamu wa Rais, amesema hayo mara baada ya kushiriki…