Kilichotokea dakika 90, Mnyupe alivyoimaliza Dar Derby

ILE Dar es Salaam Derby kati ya Azam dhidi ya Yanga, imelizika kinyonge sana kwa timu hizo zikitoka bila kupatikana mshindi huku changamoto za waaamuzi zikiendelea kushika nafasi kwenye michezo hiyo mikubwa nchini. Mchezo huo uliopigwa Jumapili Machi 15, 2026 pale Benjamin Mkapa jijini Dar, umezifanya timu hizo ndani ya dakika 90 kushindwa kuonyesha mambo…

Read More

Sintofahamu CUF, mwenyekiti mpya akosa mapokezi Kondoa

Dar es Salaam. Makundi yanayoendelea kukigawa Chama cha Wananchi (CUF) yameibuka tena, baada ya mwenyekiti mpya wa chama hicho, Mirambo Yusuf, kukosa mapokezi alipowasili Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma katika ziara yake ya kujitambulisha kwa wanachama na viongozi wa chama. Mbali na hali hiyo, alishindwa pia kufanya kikao cha ndani cha kamati ya wilaya baada…

Read More

Mahakama yawaachia huru washtakiwa vurugu Oktoba 29

Mwanza. Watu saba waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya kufanya vurugu wakati wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025, wameachiwa huru na Mahakama ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, baada ya mahakama kutoridhika na ushahidi uliotolewa dhidi yao. Washtakiwa hao pia walikuwa wakikabiliwa na tuhuma za kuchoma majengo ya Serikali, likiwemo la Mahakama ya Mwanzo Kisesa na…

Read More

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan apokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18, Machi, 2026. Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini…

Read More

Je, WWIII hapa? – Masuala ya Ulimwenguni

Vita vya Russo-Ukrainian, vilivyoanza Februari 2014, havionyeshi dalili za kumalizika. Credit: UNOCHA/Dmytro Filipskyy Maoni na Nickolay Kapitonenko (Kyiv, Ukraine) Alhamisi, Machi 19, 2026 Inter Press Service KYIV, Ukraine, Machi 19 (IPS) – Inazidi kuwa vigumu kupuuza mvutano, ghasia na kutokuwa na uhakika duniani katika miaka ya hivi karibuni. Idadi ya vita inaongezeka, pesa nyingi zaidi…

Read More