Marekani, Iran zakubaliana kusitisha mapigano

Dar es Salaam. Kitendo cha Marekani na Iran kukubaliana kusitisha mapigano kwa muda wa wiki mbili kimeibua matumaini mapya, kikichochea kushuka kwa bei za mafuta duniani na kupunguza mvutano uliokuwa ukitishia kuzua vita kubwa Mashariki ya Kati. Makubaliano hayo yaliyofikiwa Jumanne jioni yanajumuisha kufunguliwa kwa muda kwa njia muhimu ya usafirishaji wa nishati duniani, mlango…

Read More

Umuhimu wa ujenzi wa imani katika jamii ya Kiislamu

Tatizo la jamii ya Kiislamu leo hii, si ukosefu wa mwonekano wa kidini au ukosefu wa misikiti, au udhaifu wa mawaidha. Minara ya misikiti na majukwaa ya kuhubiri yamekuwa mengi, tatizo lipo katika mwonekano wa nje wa Waislamu na kukosekana utekelezaji wa imani ya kweli. Watu wengi utawakuta wanatimiza ibada vizuri, lakini wanakosea katika utekelezaji…

Read More

Dk Mwigulu awaka, aagiza mnyororo usambazaji dawa uchunguzwe

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza kufanyika uchunguzi wa haraka katika vituo vya afya vya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi, kufuatia kubainika wananchi wengi wanaelekezwa kununua dawa katika maduka ya nje, licha ya taarifa za Serikali kuonyesha dawa za kutosha zinapatikana hospitalini. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara eneo la Kibaoni ambako anaendelea…

Read More

Dk Mwinyi: Tuna kila sababu kumuenzi Karume

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema kuna kila sababu kuendelea kumkumbuka na kumuezi hayati Abeid Amani Karume kutokana na ujasiri wake kufanikisha kuongoza Mapinduzi ambayo aliondoa kiza kilichokuwa kimetanda katika kisiwa hicho. Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Aprili 8, 2026 katika hotuba yake iliyosomwa na Makamu wa Pili wa Rais, Hemed…

Read More

BALOZI MULAMULA ASHEREKEA MAFANIKIO YA WANAWAKE AFRIKA, AKEMEA UKATILI WA KIJINSIA

KUELEKEA kilelele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika kesho Machi 8, 2026, Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika kuhusu masuala ya Wanawake Amani na Usalama, Balozi Liberata Mulamula amesema anafurahishwa na mafanikio yaliyofikiwa kwa wanawake wa Afrika ikiwemo kushika nafasi za juu za uongozi yaani Urais. Pia, ameguswa na kukemea vitendo vya unyanyasaji…

Read More

Trump Awakaribisha Wanaanga wa Artemis II White House

Global Publishers April 11, 2026 0 Comments Rais wa Marekani Donald Trump amesema anatarajia kukutana na wafanyakazi wa misheni ya Artemis II katika Ikulu ya Marekani baada ya kurejea kwao salama kutoka angani. Akitoa taarifa fupi, Trump alisema kukutana huko kutakuwa ishara ya pongezi kwa mafanikio ya safari hiyo ya kihistoria ya anga iliyoandaliwa na…

Read More