Walichokisema vyama vya siasa kwa mwakilishi wa UN
Dar es Salaam. Vyama vya upinzani nchini, vimetoa malalamiko yao dhidi ya Serikali kwa Umoja wa Mataifa (UN), vikitaja kuwepo kwa changamoto katika mfumo wa siasa, demokrasia, Katiba na haki. Wakati vyama hivyo vikieleza…