SADC YAHIMIZA MTANGAMANO WENYE MATOKEO CHANYA KATIKA KIKANDA
:::::::::: Mkutano wa Kamati ya Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 07, 2026, chini ya Uenyekiti wa Balozi Tebogo Seokolo ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano ya Afrika Kusini. Katika hotuba ya ufunguzi Balozi Seokolo alihimiza Nchi Wanachama…