Video: Serikali Yatangaza Hatua Kuhakikisha Mafuta Yanapatikana
Bakari Mahundu March 23, 2026 0 Comments Serikali imewahakikishia wananchi uwepo wa akiba ya mafuta ya kutosha nchini, huku ikijizatiti kufanya kila linalowezekana kuhakikisha nishati hiyo inapatikana kwa wananchi. Hayo yameelezwa leo, Jumatatu Machi 23, 2026 na Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, katika kikao na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo zinazohusika na sekta ya…