10 mbaroni wakidai kuchukuliwa nyeti zao Zanzibar
Unguja. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar, linawashikilia watu 10 wakidai kuchukuliwa nyeti zao na kusababisha madhara makubwa kwa watu waliowatuhumu. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, Richard Mchonvu, watu hao wamekamatwa kwa nyakati tofauti kati ya Aprili 4 na 9 katika maeneo tofauti baada ya kudai wamechukuliwa nyeti zao…