BARAZA LA WAFANYAKAZI PBPA LAHIMIZWA KUWA NA UADILIFU KATIKA KUWAKILISHA MASLAHI YA WATUMISHI

📍Kibaha, Pwani – Machi 11, 2026 WAJUMBE wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) wametakiwa kuzingatia uadilifu, uwazi na weledi katika kuwasilisha na kushughulikia changamoto za watumishi wanaowawakilisha, ili kuongeza ufanisi na tija katika utendaji kazi wa taasisi. Wito huo umetolewa leo Machi 11, 2026 na Meneja wa Fedha na…

Read More

Rostam aahidi uhuru wa uhariri NMG

Dar/Nairobi. Mfanyabiashara Rostam Azizi amesema uwekezaji wake katika kampuni ya Nation Media Group (NMG) hautaathiri weledi wa uandishi wa habari uliojengwa na vyombo vya habari nya kampuni hiyo kwa muda mrefu. Amesema uwekezaji wake utaendelea kuheshimu misingi ya uhariri, viwango vya taaluma ya uandishi wa habari na imani ya umma, ambayo imeijengea heshima kampuni ya…

Read More

RAIS SAMIA AMUASILI MTOTO MCHANGA ALIYETELEKEZWA NZEGA

………….. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike leo tarehe 11 Machi, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya…

Read More

FCC Yaimarisha Ulinzi wa Mlaji Katika Soko la Vifaa vya Ujenzi

Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam. Tume ya Ushindani (FCC) imesema wazalishaji wa vifaa vya ujenzi wana wajibu wa kumlinda mlaji kwa kuhakikisha wanazalisha na kuuza bidhaa zenye ubora unaolingana na thamani ya fedha anayolipa mnunuzi. FCC imeeleza kuwa ni muhimu kwa wazalishaji kuzingatia viwango vinavyotakiwa katika uzalishaji wa vifaa vya ujenzi ili kuepusha uwepo…

Read More