SUNI BHARTI MITTAL ATUNUKIWA TUZO YA MAISHA YA GSMA KWA MAGEUZI YA SEKTA YA MAWASILIANO DUNIANI.

New Delhi, Machi 2, 2026: GSMA imemtunuku Tuzo ya Maisha (Lifetime Achievement Award) Sunil Bharti Mittal, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bharti Enterprises, kwa kutambua mchango wake mkubwa katika kubadili na kuunda upya taswira ya mawasiliano ya simu duniani pamoja na kupanua wigo wa upatikanaji wa huduma za mawasiliano kwa waendeshaji, serikali, biashara na mabilioni ya…

Read More

Wanne wafariki Monduli kwa mafuriko

Arusha. Watu wanne wamefariki dunia wilayani Monduli mkoani Arusha kufuatia mvua kubwa zilizosababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo. Mafuriko hayo pia yamesababisha uharibifu wa miundombinu na mali za wanafunzi katika Shule ya Msingi Engaruka Juu, hali iliyosababisha shule hiyo kufungwa kwa muda. Akizungumza na Mwananchi leo Jumapili Machi 15, 2026, Mkuu wa Wilaya ya Monduli,…

Read More

Asia Masimba anayewaongoza wanawake 400 wachimbaji madini

Geita. Ujasiri na uthubutu wa Asia Masimba ni simulizi ya kuvunja miiko iliyodumu kwa miongo kadhaa katika sekta ya madini mkoani Geita. Katika mazingira ambayo wanawake walionekana kuwa mkosi machimboni, Asia alithubutu kuingia duarani, akakubali kutukanwa, kufukuzwa na hata kucharazwa viboko, lakini hakurudi nyuma. Kwa miaka mitano mfululizo alipambana na imani potofu zilizotamalaki katika jamii…

Read More

Mishtuko ya Mafuta, Misukosuko ya Kisiasa na Suluhu Moja Serikali Huendelea Kupuuza – Masuala ya Ulimwenguni

Credit: Marcelo Del Pozo/Reuters kupitia Gallo Images Maoni na Andrew Firmin (london) Jumatatu, Machi 16, 2026 Inter Press Service LONDON, Machi 16 (IPS) – Kwa mara nyingine tena, bei ya mafuta duniani inapanda, kutokana na vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran. Huku Iran ikilipiza kisasi kwa kushambulia miundombinu na vituo vya usafiri na…

Read More

INADES YAZINDUA BWAWA LA KUNYWESHEA MIFUGO MIGORI IRINGA

Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV SHIRIKA la INADES-Formation Tanzania limezindua ujenzi wa bwawa la kunyweshea mifugo (water trough) katika Kijiji cha Migori, Wilaya ya Iringa, kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa maji salama na ya uhakika kwa punda na mifugo mingine midogo. Mradi huo unatekelezwa kwa ushirikiano na Brooke East Africa, kwa kushirikiana na Halmashauri…

Read More