Katibu Mkuu Uwekezaji afanya ziara Ofisi ya Msajili wa Hazina
Na Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Uwekezaji, Dk. Fred Msemwa, leo Machi 4, 2026, ametembelea Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) kwa ziara ya kujitambulisha kufuatia kuteuliwa kwake na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kushika wadhifa huo. Ziara hiyo ya…