Madaktari wataja njia rahisi ya kulinda figo
Dar es Salaam. Wakati kesho Alhamisi, Machi 12, 2026 ikiwa ni siku ya figo duniani, wataalamu wa afya nchini wameonya mtindo wa maisha unaohusisha matumizi makubwa ya soda, vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) na vilevi, huku watu wakipunguza unywaji wa maji ya kutosha, unaongeza hatari ya kupata magonjwa ya figo. Kwa mujibu wa wataalamu,…