SBL Yazindua Rasmi Serengeti Premium Apple, Kinywaji Ambacho Kimetengenezwa Tanzania

Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua rasmi Serengeti Premium Apple, ikiweka historia kama kinywaji cha kwanza chenye hadhi ya juu ‘Ready-to-Drink (RTD)’ kutengenezwa hapa nchini Tanzania. Uzinduzi huu unalenga kubadili mtazamo wa soko ambalo kwa muda mrefu limetawaliwa na bidhaa za kuagiza kutoka nje ya nchi, kwa kuanzisha bidhaa ya kisasa, ya kiwango cha kimataifa, iliyobuniwa…

Read More

Pacome atengwa Yanga ikipiga tizi la mwisho kabla ya Dabi

ZIKIWA zimesalia saa chache ipigwe mechi ya Dabi ya Kariakoo kwenye Uwanja wa New Amaan Complex hapa Unguja, kikosi cha Yanga leo Februari 28, 2026 kimefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo, huku mchezaji nyota wa timu hiyo, Pacome Zouzoua akionekana kufanya mazoezi peke yake. Pacome aliripotiwa kuwa kwenye matibabu ya majeraha aliyoyapata na kwamba…

Read More

Hii ndiyo tofauti ya kuoa, kuolewa na kuoana

Ndoa ni taasisi kongwe zaidi duniani, lakini bado inasalia kuwa mada yenye utata, hisia kali na tafsiri tofauti kulingana na utamaduni, dini na mabadiliko ya kijamii. Katika jamii yetu ya Kitanzania, maneno haya matatu: kuoa, kuolewa na kuoana hutumika kwa kubadilishana kana kwamba yana maana moja. Hata hivyo, wataalamu wa saikolojia na uhusiano wanabainisha kuwa…

Read More

Watu 10 Wakamatwa kwa Tuhuma za Ujasusi wa IRGC Nchini Qatar

Global Publishers March 4, 2026 0 Comments Nchi ya Qatar imetangaza kukamatwa kwa watu 10 wanaoshukiwa kuwa majasusi wanaohusishwa na Iran. Kwa mujibu wa shirika la habari la serikali, vikosi vya usalama vilifanikiwa kuvunja “seli mbili” zilizokuwa zikifanya kazi kwa niaba ya Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC). Watu saba walidaiwa kupewa jukumu la kukusanya taarifa…

Read More

Chakwera awasili Tanzania, atumwa na Jumuiya ya Madola

Dar es Salaam. Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini kwa ziara ya kikazi usiku wa kuamkia leo Alhamisi Aprili 9, 2026, ikiwa ni takriban miezi sita imepita tangu ilipotangazwa angewasili kama kiongozi wa ujumbe wa Jumuiya ya Madola. Novemba mwaka jana, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Botchwey, alimteua Chakwera kuwa mjumbe…

Read More