Wadau waona fursa mpya utekelezaji mapendekezo ya tume ya kodi

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi kuwasilisha mapendekezo 284 mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan, wadau wamesema kuwa, ikiwa kilichosemwa kitatekelezwa kikamilifu, mageuzi makubwa yatashuhudiwa. Miongoni mwa mapendekezo yaliyotolewa ni mabadiliko katika sekta ya kodi, ikiwamo kubadili jina la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)…

Read More

Mwamko wa wazazi unavyofifisha utoaji chakula shuleni

Dar es Salaam. Wakati changamoto ya watoto kushindwa kupata chakula shuleni ikizidi kuathiri ujifunzaji, hali hiyo imetajwa kuchangiwa na mwamko duni wa wazazi. Mmoja wa walimu kutoka mkoani Kigoma, akizungumza hivi karibuni na Mwananchi, amesema licha ya ushirikishwaji, bado utayari ni mdogo. “Tumejaribu kufanya vikao mara mbili kuwashirikisha wazazi kuchangia chakula, hatujafanikiwa. Wengi wanasema hilo…

Read More