Shahidi aeleza washtakiwa walivyokiri kuhamisha fedha

‎Dar es Salaam. Askari Polisi mwenye namba G 2325, Sajenti Joseph (41) ameieleza Mahakama jinsi mshtakiwa, Respicius Magesa (54) na mwenzake Andrew Kamugisha (47) walivyokiri kutenda kosa la kughushi na kuhamisha Sh159 milioni, kutoka akaunti binafsi kwenda katika akaunti ya Sekondari ya Macmillian.‎ ‎Joseph, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Alhamisi Machi 5, 2026,…

Read More

Zimamoto yasisitiza ukaguzi wa majengo

Dar es Salaam. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kinondoni, Mrakibu Msaidizi wa Zimamoto, Jacob Chacha, amewahimiza Watanzania kuzingatia matakwa ya kisheria kwa kuomba ukaguzi wa majengo yao ili kujikinga na majanga ya moto. Ametoa wito huo wakati anazungumza na Mwananchi leo, Aprili 6, 2026, jijini Dar es Salaam kufuatia tukio…

Read More

PROF. MKENDA: MUHAS KUWA MJI WA KITAALUMA NA TIBA

Serikali imedhamiria kuwa Kampasi ya Mloganzila ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) itakuwa mji wa kitaaluma na tiba, ikijumuisha vituo vya umahiri vitakavyotoa huduma za matibabu, elimu na utafiti ili kuimarisha sekta ya afya na elimu ya juu nchini. Hatua hiyo, inatokana na uwekezaji mkubwa unaoendelea katika Kampasi hiyo, pamoja na…

Read More

Nyumba kama Ustahimilivu wa Hali ya Hewa katika Miji ya Asia-Pasifiki – Masuala ya Ulimwenguni

Mwanamke akiangalia mafuriko na maporomoko ya ardhi katika Manispaa ya Panauti katikati mwa Nepal mnamo Oktoba 2024. Ustahimilivu wa makazi ni muhimu katika kuzuia hasara ya mijini na kuokoa maisha. Credit: UNICEF/ Rabik Upadhayay Maoni na Sanjeevani Singh (bangkok, Thailand) Jumatatu, Machi 16, 2026 Inter Press Service BANGKOK, Thailand, Machi 16 (IPS) – Upatikanaji wa…

Read More