Aliyeua kutelekeza mwili kando ya barabara, kunyongwa

Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Songea, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Deo Ramadhani, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua Melania Christian na kuutelekeza mwili wake kando ya barabara ya Mahinya, Songera. Mauaji hayo yalitokea Julai Mosi 2023, ambapo mwili huo ulikutwa ukiwa umefunikwa na kanga, katika Kijiji cha Mlilayoyo, Wilaya ya Namtumbo,…

Read More

Nyota Coastal Union kimeeleweka | Mwanaspoti

STRAIKA wa Coastal Union, Abdulkarim Segeja, amesema licha ya kuanza vibaya msimu huu, lakini kwa sasa timu imeonesha mabadiliko na mechi zilizobaki mkakati wao ni kutopoteza pointi. Coastal Union iliyowahi kutwaa ubingwa mwaka 1988 wakati inaitwa Ligi Daraja la Kwanza kabla ya sasa kufahamika Ligi Kuu Bara, inakumbukwa pia kushuka daraja msimu wa 2015-2016 ikiwa…

Read More

Historia ya mauaji ya kimbari Rwanda isipotoshwe

Kigali. Rais wa Shirika la Manusura wa Mauaji ya Kimbari (Ibuka), Dk Gakwenzire Philbert, amesema kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi yaliyotokea mwaka 1994 nchini Rwanda inapaswa kuendelea kuwa msingi wa kujenga taifa lenye umoja, haki na uwajibikaji kwa kizazi cha sasa na kijacho. Akizungumza jana na Mwananchi kando ya mkutano wa maadhimisho…

Read More

TIB, UNDP Waingia Ubia wa Kimkakati Kukuza Uchumi Jumuishi na Endelevu

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Maendeleo (TIB), Deogratius Kwiyukwa  na  Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Shigeki Komatsubara wakisaini hati ya Makubaliano (MoU) itakayolenga kuendeleza mifumo bunifu ya ufadhili wa maendeleo, hatua inayotarajiwa kuchochea mageuzi ya kijamii na kiuchumi nchini. Mikataba huo umesainiwa leo Machi 17, 2026 jijini Dar es Salaam.  Mkurugenzi…

Read More

Azam yafikisha sare kumi Ligi Kuu Bara

AZAM imeendelea kuangusha pointi katika Ligi Kuu Bara msimu huu kupitia matokeo ya sare baada ya kumaliza dakika 90 zingine bila kufungana ugenini dhidi ya Mbeya City. Matokeo ya mechi hiyo iliyochezwa leo Alhamisi Aprili 9, 2026 kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa jijini Babati mkoani Mantara, yanaifanya Azam kufikisha pointi 34, ikisalia nafasi ya tatu,…

Read More

Paroko alivyonusurika kifo madhabahuni, mshambuliaji auawa

Dar es Salaam/Mwanza. Paroko wa Parokia ya Kagunguli, wilayani Ukerewe, amenusurika kuuawa akiwa madhabahuni baada ya kijana kuvamia ibada ya Misa Takatifu ya Pasaka akiwa na panga. Tukio hilo la kushtua lilitokea wakati wa misa, na mshambuliaji huyo aliwajeruhi waumini wawili, akiwemo mwanakwaya na mwenyekiti wa parokia, kabla ya kuzuiwa na wananchi waliokuwapo eneo la…

Read More