Imani za kishirikina zatishia wananchi kudai haki zao Tanga
Tanga. Baadhi ya wananchi jijini Tanga wameeleza hofu ya imani za kishirikina, imekuwa kikwazo kwao kudai haki zao katika migogoro mbalimbali inayowakabili ikiwemo masuala ya ardhi. Mara kadhaa wananchi wamekuwa wakisikiliza malalamiko ya wenzao, lakini wengi hushindwa kuchukua hatua kwa hofu ya madhara yanayodaiwa kuhusishwa na ushirikina. Malalamiko haya yamejitokeza katika kliniki ya sheria inayosimamiwa…