RAIS DKT.SAMIA ATETA NA KATIBU MKUU JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI ANAYEMALIZA MUDA WAKE IKULU JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayemaliza muda wake, Bi. Veronica Nduva, tarehe 28 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam. Pamoja na masuala mengine, Katibu Mkuu ambaye anamaliza muda wake alimshukuru Mheshimiwa Rais na Serikali ya Jamhuri ya…

Read More

Grayson Msingwa: Hatutavumilia Matumizi Mabaya ya Usajili wa Meli – Video

Global Publishers February 27, 2026 0 Comments Msemaji wa Serikali, Grayson Msingwa Serikali imethibitisha kuwa meli iliyokamatwa nchini El Salvador ilikuwa imesajiliwa Tanzania kupitia upande wa Zanzibar, huku ikieleza kuwa tayari hatua za kisheria na kiutawala zimechukuliwa. Akizungumza na waandishi wa habari, Msemaji wa Serikali, Grayson Msingwa, amesema tukio hilo lisitumike kuichafua nchi kwani meli…

Read More

Nafasi za Kazi: Site Foreman Wenye Uzoefu wa Miaka 2 Wahitajika Haraka

Global Publishers February 26, 2026 0 Comments 2️⃣ Site Foreman (Civil Building Project) Minimum Qualifications: Bachelor of Science in Building, Construction Management, Civil Engineering, or related field Minimum of 2 years practical site experience in building construction Key Responsibilities: Supervise day-to-day construction activities on site Coordinate labor, subcontractors, and materials effectively Ensure work is executed…

Read More

Watu 10 Wakamatwa kwa Tuhuma za Ujasusi wa IRGC Nchini Qatar

Global Publishers March 4, 2026 0 Comments Nchi ya Qatar imetangaza kukamatwa kwa watu 10 wanaoshukiwa kuwa majasusi wanaohusishwa na Iran. Kwa mujibu wa shirika la habari la serikali, vikosi vya usalama vilifanikiwa kuvunja “seli mbili” zilizokuwa zikifanya kazi kwa niaba ya Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC). Watu saba walidaiwa kupewa jukumu la kukusanya taarifa…

Read More

Shughuli ya kuwatafuta watu watatu waliozama majini yaendelea

Tanga. Utafutaji wa watu watatu waliopotea kufuatia kuzama kwa jahazi katika Bahari ya Hindi, eneo la Nungwi kisiwani Unguja, bado unaendelea huku matumaini ya kuwapata yakiwa yameanza kupungua. Jahazi hilo lililosajiliwa kwa ajili ya kubeba mizigo, lilikuwa limebeba watu 12 kinyume na taratibu wakati lilipopata ajali Machi 14, 2026. Miili ya watu wawili ilipatikana jana,…

Read More

Tasac yatoa tahadhari baada ya jahazi kuzama

Dar es Salaam. Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (Tasac) limewakumbusha wananchi wanaotumia usafiri wa majini kutumia vyombo vya usafiri vilivyoidhinishwa kubeba abiria na kuepuka kupanda vyombo vya mizigo ambavyo haviruhusiwi kubeba abiria. Tasac imetoa wito huo siku moja baada ya kuripotiwa jahazi lililosajiliwa kwa ajili ya kubeba mizigo kuzama na kusababisha vifo vya watu…

Read More

Chaumma yaingia TCD na matarajio makubwa

Dar es Salaam. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimedhamiria kutumia uanachama wake wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika kukuza demokrasia nchini. Hayo yamebainishwa  Machi 13, 2025 jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Chaumma, Salum Mwalimu wakati wa Iftar iliyoandaliwa na TCD, ikiwashirikisha wadau tofauti wa demokrasia vikiwamo vyama vya siasa. Akizungumza…

Read More

Gachi Amuomba Radhi Yammi Baada ya Kuzua Taharuki Mitandaoni – Video

Global Publishers February 26, 2026 0 Comments Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Fatma Omary maarufu kama Gachi Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Fatma Omary maarufu kama Gachi, amejitokeza hadharani kumuomba radhi msanii mwenzake Yammi kufuatia tuhuma alizozitoa mitandaoni hivi karibuni akimtuhumu kumchukulia mwanaume wake. Katika hatua iliyoonekana kuwa ya kutafuta suluhu na kurejesha…

Read More