The Blood of Sudan Must Never Be Silenced

By Moses Ntandu, Dar es Salaam, Tanzania On the land of Sudan, this month of Ramadan has not arrived with peace or hope. Instead, it has come to a country exhausted by war, torn apart by pain, and immersed in the grief of thousands of families who have lost their loved ones. The capital city,…

Read More

Kwa Slotopia Ya Meridianbet, Sasa Kila Mzunguko Unakupa Ushindi

Soko la burudani ya kasino mtandaoni sasa limepata nguvu mpya baada ya Meridianbet kuijumuisha Slotopia, mtengeneza michezo anayelenga kuwapa wachezaji burudani isiyo na kikomo pamoja na bonasi na zawadi kemkem. Uzinduzi huu unaashiria kipindi kipya cha ushindi, ambapo kila mzunguko wa mchezo ni fursa ya kuongeza mapato. Slotopia imeundwa kwa lengo la kuhakikisha kila mchezaji…

Read More

Simba Queens yarudi kambini kujiandaa mzunguko wa pili WPL

SIMBA Queens imeingia kambini mapema kuanza maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Wanawake nchini, huku benchi la ufundi likieleza lengo kubwa ni kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri katika mechi zilizosalia. Kocha msaidizi wa timu hiyo, Mussa Hassan Mgosi alisema kufanya maandalizi ya mapema ni muhimu kwa kikosi hicho ili kurejea uwanjani kikiwa…

Read More

Siku tatu ngumu za Sowah Simba

NI takribani wiki moja imepita tangu taarifa za mshambuliaji wa Simba, Jonathan Sowah ziripotiwe huku ikielezwa amesimamishwa kutokana na madai ya utovu wa nidhamu. Wakati muda huo ukipita huku kukiwa na ukimya kidogo, mapya yameibuka na kuelezwa uongozi wa klabu hiyo umempa siku…

Read More

Paroko alivyonusurika kifo madhabahuni, mshambuliaji auawa

Dar es Salaam/Mwanza. Paroko wa Parokia ya Kagunguli, wilayani Ukerewe, amenusurika kuuawa akiwa madhabahuni baada ya kijana kuvamia ibada ya Misa Takatifu ya Pasaka akiwa na panga. Tukio hilo la kushtua lilitokea wakati wa misa, na mshambuliaji huyo aliwajeruhi waumini wawili, akiwemo mwanakwaya na mwenyekiti wa parokia, kabla ya kuzuiwa na wananchi waliokuwapo eneo la…

Read More

Jinsi Wavuvi Wachache Wanavyoonyesha Jinsi Hapooni Inaweza Kuwa Endelevu Kiikolojia – Masuala ya Ulimwenguni

Sudhi Kumar (51) ni mvuvi kutoka Kovalam, India, ambaye amekuwa akivua chusa kwa zaidi ya miaka 30. Credit: Bharath Thampi/IPS na Bharath Thampi (thiruvananthapuram, india) Ijumaa, Machi 20, 2026 Inter Press Service THIRUVANANTHAPURAM, India, Machi 20 (IPS) – Sudhi Kumar anasogeza mikono yake kwa uhuishaji, mithili ya uchezaji wa densi wa kupendeza, huku akionyesha jinsi…

Read More

OKASH AANZISHA MFUMO WA KUSIKILIZA KERO KIDIGITALI

Na Mwandishi wetu OFISI ya Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma imezindua mfumo wa kusikiliza kero za wananchi kidigitali kupitia namba maalumu WhatsApp ijulikanayo kama Chemba konektedi. Kupitia namba hiyo maalum ya 0771400500 itakayotumika kwa mfumo wa WhatsApp wananchi wataweza kuwasilisha kero na changamoto zao moja kwa moja bila kutumia muda, nauli kwa kusafiri…

Read More

Maboresho mfumo kodi na maendeleo tuyatakayo

………… Na: Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga  Juhudi za kujiletea maendeleo zinategemea sana ufanisi wa ukusanyaji kodi kutoka kwa wananchi. Wizara, taasisi na vitengo mbalimbali wanaweza wakakaa chini kupanga, kujadili na kuja na mipango mingi mizuri ya maendeleo lakini itakapofika kipengele cha namna ya kutekeleza mipango hiyo, maeneo mengi yatahitaji fedha ili kufanikisha. Kimsingi, kodi ni…

Read More