ALAF Yatoa Viti 10 vya Magurudumu kwa Watoto Wenye Mahitaji Maalumu
Kampuni ya ALAF, inayoongoza katika suluhisho la paa na vifaa vya ujenzi Tanzania, imezindua Kundi la 5 la Mpango wa Wanawake katika Uongozi kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake, ambayo iliadhimishwa Machi 8 duniani kote. Uzinduzi huo, uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam Jumatatu, ukiongozwa na kaulimbiu ya…