ZFF yataja mikakati ya kuinua soka Zanzibar

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), Hussein Ahmada Vuai amesema shirikisho hilo linaendelea na jitihada za kuleta mabadiliko katika Ligi Kuu Soka Zanzibar ili kutambulika zaidi Afrika. Alisema mbali na ubora wa wachezaji, ligi hiyo inanufaika kwa kuboreshwa kwa miundombinu ya michezo na makocha wazoefu ambao wamewahi kufanya kazi kwenye baadhi ya klabu…

Read More

Museveni achaguliwa mwenyekiti mpya EAC

Arusha. Rais wa Uganda Yoweri Museveni amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kipindi cha kuanzia Machi 2026 hadi 2028, akichukua mikoba kwa Rais wa Kenya William Ruto aliyemali muda wake. Museveni amechaguliwa leo Jumamosi, Machi 7, 2026 katika Mkutano wa kawaida wa 25 wa wakuu wa nchi wa EAC unaofanyika katika…

Read More

TRA yaizamisha Fountain Gate | Mwanaspoti

TRA United imeizamisha Fountain Gate kwa kuitandika mabao 4-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara, iliyopigwa leo Februari 26, 2026 kwenye Uwanja wa Black Rhino uliopo Karatu jijini Arusha. Matokeo hayo yanaifanya TRA kupanda nafasi mbili kutoka ya 12 hadi 10 kwenye msimamo wa ligi ikifikisha pointi 16 baada ya kucheza 13, ikizishusha Coastal Union…

Read More

Mbegu za asili zaidi ya 1,000 zimeingizwa kwenye mfumo rasmi

Dodoma. Serikali imesema kuwa hadi sasa imefanikiwa kutunza mbegu za asili zaidi ya aina 1,000 ambazo zimeingia kwenye mfumo rasmi ili kuwawezesha wakulima kulima kilimo hai na kutunza mazingira katika mtindo wa ikolojia. Aidha kupitia Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (Tari) wizara imefanikiwa kukusanya, kusafisha na kuhifadhi jumla ya mbegu za asili 770 katika mazao…

Read More

Kwa Taarifa Zaidi Ingia Meridianbet Sport Portal

MERIDIANBET Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa soka kujua mambo mbalimbali yanayoendelea ya kimichezo, kasino, usajili, matokeo, na kupata fursa za kubashiri mechi mbalimbali. Kupitia Kampuni hii kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet…

Read More

Dkt. Mwigulu: Wanafunzi Bora Kusomeshwa Nje Kupitia Samia Scholarship

Global Publishers March 10, 2026 0 Comments WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema wanafunzi watakaofaulu kwa viwango vya juu watanufaika na ufadhili wa masomo kupitia mpango wa Samia Scholarship unaotolewa na Serikali. Dkt. Mwigulu amesema hayo wakati akizungumza na wanafunzi katika ziara yake mkoani Rukwa, ambapo pia aliwasilisha salamu maalum…

Read More

SGR, MV Umoja kuunganisha usafirishaji, Serikali yasema…

Mwanza. Serikali ya Tanzania imesisitiza kuwa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) haujasimama, huku ikiendelea kuunganisha mradi huo na usafiri wa majini kupitia meli ya MV Umoja ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi. Kauli hiyo imetolewa kufuatia mijadala ya wananchi kuhusu kasi ya miradi ya kimkakati, baadhi wakidai imekwama, jambo ambalo…

Read More