Video: Rais Samia Aelekeza Serikali Kupunguza Matumizi ya Mafuta
Global Publishers April 8, 2026 0 Comments Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 08 Aprili, 2026. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa onyo kwa wafanyabiashara nchini dhidi ya kutumia mwanya wa kupanda…