Mbunge Kabati awarejeshea tabasamu wenye ulemavu 13

Iringa. Furaha na shangwe zimetawala katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa, baada ya watu 13 wenye ulemavu kukabidhiwa viungo bandia vya miguu vilivyogharimiwa na Mbunge wa Kilolo, Ritta Kabati kupitia Taasisi ya Ritta Kabati Trust Fund. Wanufaika hao wamesema kwa muda mrefu walikwamishwa na gharama kubwa za viungo saidizi, hali iliyowafanya waendelee kuishi…

Read More

Video: Israel Yaishambulia Iran Kwa Makombora Mazito

Bakari Mahundu February 28, 2026 0 Comments Israel imeanzisha mfululizo wa mashambulizi ya makombora dhidi ya Iran mapema leo Jumamosi asubuhi, kufuatia wiki kadhaa za mvutano mkali uliokuwa ukiongezeka kati ya Rais wa Marekani, Donald Trump, na Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah. Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ametangaza kuwa nchi hiyo ipo katika…

Read More

TALGWU yatangaza safari ya kupata viongozi wapya

Dar es Salaam. Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU), kinatarajiwa kufanya uchaguzi wa kupata viongozi wapya kuanzia ngazi ya matawi hadi Taifa Aprili na kukamilika Septemba 2026. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa leo Jumatano Machi 18,2026 na Kaimu Katibu Mkuu wa TALGWU, Wandiba Ngocho, katika uchaguzi huo kutakuwa na uchaguzi mkuu wa…

Read More

Ofisa wa benki ahukumiwa kulipa Sh152 milioni kwa wizi

‎Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa ofisa wa benki ya Equity Tanzania Limited, Lilian Koka (27), kulipa fidia ya Sh152 milioni baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la wizi. Mbali na adhabu hiyo, Koka ambaye ni mkazi wa Ukonga, amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi 12, akitakiwa kutotenda kosa lolote la…

Read More

Ajali ya Ndege Iraq Yawaua Wafanyakazi 6 wa Marekani

Global Publishers March 13, 2026 0 Comments Wafanyakazi sita wa Marekani waliokuwa kwenye ndege ya mafuta ya kijeshi wamefariki dunia baada ya ndege hiyo kuanguka Iraq Alhamisi. Jeshi la Marekani limesema ajali hiyo haikuwa matokeo ya shambulio, ingawa kundi la wadau wa Iran liliidai jukumu. Hii inachangia idadi ya angalau wanajeshi 13 wa Marekani waliopoteza…

Read More

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel, Kamoto Afanya Ziara ya Mradi wa Ukarabati Shule ya Msingi Kiromo

MKURUGENZI Mtendaji wa Airtel Tanzania, Charles Kamoto, pamoja na viongozi wengine wa kampuni, hivi karibuni walifanya ziara katika Shule ya Msingi Kiromo ili kuangalia maendeleo ya mradi wa ukarabati unaofadhiliwa na Airtel Tanzania. Mradi huu unaonyesha dhamira ya Airtel katika kuboresha mazingira ya kujifunzia na kusaidia elimu katika jamii wanazofanyia kazi. Wakati wa ziara, timu…

Read More

TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA OLIMPIKI

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman Njalikai, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Kamati za Kitaifa za Olimpiki za Afrika (ANOCA), Bwa. Mustapha Berraf, tarehe 01 Machi, 2026, katika Ofisi za Michezo ya Vijana Afrika, jijini Algiers. Kupitia mazungumzo hayo, wawili hao walijadili kuhusu namna ya kuimarisha…

Read More

SERIKALI YAWEKA UWAJIBAKAJI SEKTA YA ARDHI

 Na Munir Shemweta, WANMM  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ameutumia uzinduzi wa “Samia Ardhi Kliniki” jijini Dar es Salaam kutangaza msimamo mkali wa Wizara dhidi ya vitendo vya uzembe na ucheleweshaji wa huduma kwa wananchi.   Katika hafla hiyo, Waziri Akwilapo amesema Wizara imeamua “kujivua gamba” na kuanza ukurasa…

Read More