THBUB UNGUJA, PEMBA KUIMARISHA USHIRIKIANO

04 MACHI, 2026 ZANZIBAR *ZASISITIZA USHIRIKIANO MAENEO YA UTAALAMU, UZOEFU NAIBU Katibu Mtendaji Tume ya Haki za binadamu na Utawala Bora (THBUB), Bw. Juma Msafiri Karibona amehimiza suala la ushirikiano katika kutekeleza majukumu ya Tume hiyo kwa ofisi za Unguja na Pemba. Bw. Karibona aliyasema hayo ofisi za Tume zilizopo Mombasa, Wilaya ya Magharibi B…

Read More

Mjadala wa mafuta wakolea, yashuka soko la dunia

Dar/Dodoma. Wakati mjadala wa kupanda kwa bei za mafuta ukiendelea kushika kasi nchini, Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kupunguza msururu wa magari katika misafara yake, ikiwa ni hatua ya kukabili matumizi ya nishati hiyo. Katika utekelezaji wa hatua hiyo, Rais Samia amesema wakuu wa idara mbalimbali wanaoongozana naye katika misafara wakiwa na magari yao, wote…

Read More

ICU ni Nini? Ukweli Wote Kuhusu Chumba cha Wagonjwa Mahututi

Watu wengi hawajui mgonjwa wao akipelekwa ICU na kujiuliza kuna nini huko? ICU ni Kitengo Maalum cha Wagonjwa Mahututi. Kinarejelea mahali ambapo matibabu maalum hutolewa kwa wagonjwa ambao afya zao zimetetereka kabisa na wanaohitaji uangalizi na usaidizi maalum wa karibu na madaktari. Inatoa huduma muhimu na msaada wa maisha kwa wagonjwa waliozidiwa kiafya au waliojeruhiwa….

Read More

WAZIRI MASAUNI AHIMIZA VIJANA KULINDA MISINGI YA MUUNGANO

Na; Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu nchini na vijana kuendelea kulinda na kutetea misingi ya Muungano iliyoachwa na Waasisi. Mhe. Mhandisi Masauni ameyasema hayo Aprili 06, 2026 Jijini Dar es Salaam wakati akifungua kongamano…

Read More

Bodaboda 3,000 wamepatiwa mafunzo udereva salama Mara

Musoma. Zaidi ya bodaboda 3,000 mkoani Mara wamepatiwa mafunzo ya udereva salama na sheria za usalama barabarani, katika mkakati wa Serikali mkoani humo kupunguza ajali zinazotokana na uendeshaji usiozingatia taratibu. Awali, bodaboda hao walikuwa wakifanya shughuli zao bila leseni wala mafunzo rasmi ya udereva, hali iliyochangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa ajali za barabarani. Hayao…

Read More

Marietha anavyojitegemea kupitia kazi ya bodaboda

Dar es Salaam. Akiwa amekulia katika mazingira ya kawaida ya kifamilia mkoani Manyara, alilazimika kuagana na nyumbani kwao, ndugu na marafiki, akibeba matumaini moyoni, akiamini kuwa jiji kubwa la Dar es Salaam lingeweza kufungua ukurasa mpya wa maisha yake. Hakukuwa na uhakika wa kazi wala ndugu wa karibu wa kumtegemea, kilichomsukuma ni shauku ya kujitegemea…

Read More