Raoma, Vodacom Wazindua Mfumo wa Kidijitali ‘SOMO’ Chini ya Kampeni ya Twende Zetu Darasani

Taasisi isiyo ya kiserikali ya RAOMA Foundation kwa kushirikiana na kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania Plc leo wamezindua mfumo mpya wa kidijitali wa elimu unaoitwa SOMO, chini ya kampeni mpya ya Twende Zetu Darasani. SOMO ni mfumo wa kidijitali ulioundwa mahususi na Vodacom Tanzania Plc ili kusaidia ufundishaji na ujifunzaji wa masomo…

Read More

MKURUGENZI TTB: NCHI IMEENDELEA KUWA MFANO AFRIKA KATIKA KUUNGANISHA JUHUDI ZA UHIFADHI,MAENDELEO YA UTALII

Na Mwandishi Wetu UZOEFU wa Tanzania katika kuunganisha uhifadhi wa maliasili na maendeleo ya sekta ya utalii umevutia wataalamu kutoka nchini Zambia, waliowasili nchini kwa ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu. Ujumbe huo umetembelea Tanzania Machi 16,2026 kwa lengo la kujifunza namna nchi inavyotekeleza mikakati ya uhifadhi wa rasilimali za asili sambamba na kutangaza vivutio…

Read More

Maji ni Uhai: TRAMEPRO Yaadhimisha Siku ya Maji Duniani 2026

Kila mwaka tarehe 22 Machi, dunia huungana kuadhimisha Siku ya Maji Duniani—siku muhimu inayotukumbusha thamani ya rasilimali maji katika maisha ya kila siku. Mwaka huu wa 2026, maadhimisho haya nchini Tanzania yanafanyika katika Mkoa wa Morogoro, yakileta pamoja wadau wa sekta ya maji, afya na mazingira. Katika kuadhimisha siku hii, Shirika la Dawa Asilia na…

Read More

Fei Toto awaibua wakongwe Ligi Kuu Bara

WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa imesimama kupisha Kombe la Shirikisho la CRDB (FA),  Feisal Salum ‘Fei Toto’ ndiye kinara anayehusika kwenye mabao hadi sasa akikaribiwa na mshambuliaji wa Yanga, Prince Dube, huku wachezaji wa zamani wakimpa maua yake. Kwenye chati ya ufungaji Fabrice Ngoy wa Namungo ndiye anaongoza kwa kufunga mengi akiwa nayo nane mbele…

Read More

Odds Za Moto Leo! Freiburg, Barcelona na Dortmund Wanacheza

Je unajua ushindi wa haraka unaeza ukaupata Meridianbet ambao hawa ni wakali wa mambo ya ubashiri?. Kama hujajua basi ndio nakupa taarifa sasa unachotakiwa kufanya ni kuweka dau kwenye simu yako na kuanza kubashiri na Meridianbet leo. Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA itaendelea Freiburg ataumana dhidi ya Bayer Leverkusen  ambapo mechi ya mwisho kukutana kati…

Read More

Kwa nini wanawake wanaishi maisha marefu lakini sio bora zaidi – Masuala ya Ulimwenguni

Ulimwenguni kote, data ya Umoja wa Mataifa inaonyesha, wanawake bado wana uwezekano mdogo wa kuchukuliwa kwa uzito, kutambuliwa kwa usahihi, au kutibiwa ipasavyo. Kutoka kwa utambuzi mbaya hadi upendeleo wa matibabu ulioimarishwa, mapungufu katika mifumo ya huduma ya afya yanaendelea kuathiri afya ya wanawake, usalama na ubora wa maisha. Ingawa huduma ya afya ni haki…

Read More

Ramadhani ni mwezi wa toba, kuokolewa na moto

Mwezi wa Ramadhani ni mwezi ambao milango ya pepo hufunguliwa na milango ya moto hufungwa. Katika mwezi huu, Allah Mtukufu huwapa neema waja wake wanaofunga kwa kuwaokoa na moto wa jahannam. Moto ambao joto lake ni kali sana, kina chake ni kirefu, na adhabu yake ni nzito. Mtume wa Allah (rehema na amani ziwe juu…

Read More

FCT: UWAJIBIKAJI, UAMINIFU NGUZO YA BIASHARA DODOMA

KATIBU Tawala Msaidizi Sehemu ya Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Dodoma Bi.Mwajabu Nyamkomora,akizungumza  wakati akifungua semina ya kuwajengea uwezo wadau wa Baraza la Ushindani (FCT) kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma yaliyofanyika leo Februari 27,2026 jijini Dodoma. …… KATIBU Tawala Msaidizi Mkoa wa Dodoma, Mwajabu Nyamkomora, amesema uwajibikaji na uaminifu ni miongoni…

Read More