Boresha afya kwa bustani ya nyumbani

Dar es Salaam. Kulima bustani ya nyumbani si tu mapambo ya mazingira, bali ni uwekezaji wa moja kwa moja katika afya na uchumi wa familia. Bustani hutoa chanzo cha uhakika cha mboga na matunda mabichi, yenye virutubisho muhimu kwa ajili ya kujenga, kuimarisha na kulinda mwili. Ofisa lishe mtafiti kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe…

Read More

‘Glimmer of hope’ nchini Haiti huku kukiwa na mabadiliko ya mstari wa mbele wa magenge – Masuala ya Ulimwenguni

Takriban watu milioni 1.4 wengi wao katika mji mkuu wa Port-au-Prince wamelazimika kuhama makwao kutokana na ghasia za magenge, na kusababisha kile ambacho Umoja wa Mataifa umesema. Mtaalam Mteule wa hali ya haki za binadamu nchini HaitiWilliam O’Neill, ameita “kiwango kisicho na kifani cha uhamaji wa ndani.” Akizungumza na waandishi wa habari katika Makao Makuu…

Read More

Bandari mpya Kisiwa Mgao itakavyoinua uchumi Kusini

Kelele za malori mazito yaliyokuwa yakibeba makaa ya mawe na mizigo mingine mikubwa zimekuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa wakazi wa Mtwara kwa miaka kadhaa sasa. Lakini hali hiyo inatarajiwa kubadilika kadri ujenzi wa bandari mpya maalumu ya mizigo mikubwa katika Kisiwa cha Mgao unavyoendelea kushika kasi. Mradi huo unaotekelezwa na Mamlaka ya…

Read More

TRA United yaitibulia Singida, yavunja benchi la ufundi

MUDA mchache baada ya leo Aprili 5, 2026 Singida Black Stars kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa TRA United katika mechi ya Ligi Kuu Bara, Walima Alizeti hao wamevunja benchi lote la ufundi. Taarifa iliyotolewa na uongozi wa klabu hiyo, imesema umefikia uamuzi huo kufuatia mwenendo mbaya wa matokeo yasiyoridhisha katika kipindi cha hivi…

Read More

Tanzania yaeleza utayari mwenyeji wa mkutano IPU Arusha

Dar es Salaam. Bunge la Tanzania limetia saini makubaliano ya kuwa mwenyeji wa mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2026 jijini Arusha. Utiaji saini huo pia umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Bunge na Serikali wakiwamo Rais wa IPU ambaye pia ni Spika mstaafu Dk Tulia Ackson, Naibu Waziri wa…

Read More

Safari ya mjamzito aliyebebwa kwa machela kwenda kujifungua aeleza maumivu, ushujaa na furaha

Kilolo. Nadhani tunakumbuka picha ya mama mjamzito kutoka Kiwalamo, wilayani Kilolo, aliyebebwa kwa machela na wanakijiji akiwa katika uchungu wa kujifungua kutokana na barabara mbovu hadi Hospitali ya Dabaga kwenda kujifungua. Hii ni simulizi ya kishujaa ya Zaineth Kipingi, mama wa Moreen, aliyejifungua kwa mara ya kwanza Juni mwaka huu akibebwa kwenye machela kutoka Kiwalamo…

Read More

Vyakula Vya Kula Kwa Mgonjwa Wa Vidonda Vya Tumbo

LEO tutaangazia vyakula vya kuepukwa na wagonjwa wa vidonda vya tumbo lakini pia tutaeleza vyakula vinavyofaa kuliwa na hao wenye matatizo hayo. Ili kupunguza makali au kujiepusha kabisa na ugonjwa huo wa vidonda vya tumbo (ulcers), unapaswa kujiepusha kula vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi. VYAKULA VYA KUEPUKWA Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo…

Read More