MWILI WA MAMA WA MWANDISHI JOHN BUKUKU WA FULLSHANGWE WAAGWA DAR
Mwandishi wa habari Mwandamizi na Mkurugenzi wa Full Shangwe Media, Bw. John Bukuku akiaga mwili wa Mama yake Mzazi Anyambilile M. Kilindu katika ibada iliyofanyika Leo Machi 8, 2026 Madale, Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la Moravian Onesmo Kasyama akiongoza ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Anyambilile M. Kilindu. …….. Mwili wa marehemu Bi….