Kanuni ya siku 90 inavyoweza kubadilisha tabia
Dar es Salaam. Wataalamu wa saikolojia duniani wametengeneza ‘Kanuni ya siku 90’ kama mhimili wa mabadiliko ya tabia ya mtu, endapo jambo litafanyika kwa siku hizo mfululizo, inakuwa tabia. Limekuwa ni jambo gumu kwa mtu kubadili tabia, kwa mfano mtu anayetaka kuacha kunywa pombe, uasherati, au kutumia dawa za kulevya. Hata hivyo, wataalamu wanaeleza kwamba…