Fanya Hivi Kama Unaona Mpenzi Wako Hamuendani!

NI Jumanne nyingine tunakutana kwenye eneo letu la kupeana elimu ya uhusiano. Ulimwengu huu ni mzuri kama utampata mtu sahihi. Mtu ambaye mnapendana kwa dhati na hakuna hata mmoja wenu ambaye anamsumbua au kumyanyasa mwenzake.  Kizazi cha sasa kimetawaliwa na ugomvi, usaliti, tamaa na kila aina ya mambo mabaya. Bahati mbaya sana hata wale walioko…

Read More

Mzazi tambua mipaka ya kusaka maisha, malezi ya watoto

Dar es Salaam. Katika ulimwengu wa leo, wazazi wengi wanajikuta wakiwa katika mbio zisizokwisha za kutafuta maisha bora. Gharama za elimu, matibabu, makazi na mahitaji mengine ya msingi zimeongezeka. Hivyo, hali hiyo huwalazimu wazazi wengi kutumia muda mwingi kazini au katika shughuli za kujiongezea kipato. Hata hivyo, swali la msingi linalopaswa kujiuliza ni hili: Je,…

Read More

Yanga yaikimbiza Simba Bara | Mwanaspoti

TUZO zinazotolewa kila baada ya mechi za Ligi Kuu Bara, ukiangalia katika vikosi vya Simba na Yanga, wageni ndio wamekuwa vinara wa kuchukua mara nyingi na idadi kubwa ya wachezaji mbele ya wazawa. Tuzo hizo zimeelezwa na wadau pamoja na makocha kuibua ushindani wa timu pamoja na kupandisha thamani ya wachezaji. Kama kawaida ya utani…

Read More

RAIS MWINYI KUONGOZA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA QUR’AN DAR ES SALAAM

::::::: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Mashindano Makubwa ya Kimataifa ya Qur’an Tukufu yatakayofanyika Jumapili, Machi 1, 2026. Katika mashindano hayo, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuwa Mgeni Maalum. Tukio hilo linasimamiwa na Alhikma Foundation. Akizungumza na waandishi wa habari katika…

Read More

NDUNA MKOMANILE ANG’ARA RUVUMA: WANANCHI WAJIFUNZA MCHANGO WA WANAWAKE KATIKA VITA VYA MAJIMAJI

Wananchi mbalimbali pamoja na baadhi ya viongozi wamepata fursa ya kutembelea onyesho maalum la Nduna Mkomanile lililofanyika katika Kituo cha Baraza la Wazee wa Mila na Desturi Mkoa wa Ruvuma. Onyesho hilo limefanyika tarehe 27/02/2026, likiwakutanisha wadau mbalimbali waliotaka kujifunza na kutambua mchango wa wanawake katika historia ya ukombozi wa taifa. Nduna Mkomanile anatambulika kama…

Read More