Mkuu wa Umoja wa Mataifa azindua ombi kuu la kibinadamu kutoka Lebanon iliyokumbwa na vita – Masuala ya Ulimwenguni

“Niko hapa kwa ziara ya mshikamano na watu wa Lebanon,” alisema alisema. “Mshikamano wa maneno lazima uendane na mshikamano katika vitendo. Msaada huu unahitajika haraka. Ongezeko la kijeshi katika eneo lote linaleta madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na Lebanon. Katikati ya mzozo unaoendelea wa Mashariki ya Kati, mamia ya raia wameuawa – ikiwa ni pamoja…

Read More

Benki ya Absa kuendelea kushiriki mikakati ya kuboresha ustawi na maendeleo endelevu ya watoto, familia na jamii nchini

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (kushoto), akishikana mikono na Mkurugenzi wa Shirika la World Vision Tanzania, Bw. James Anditi, wakati wa uzinduzi rasmi wa Mkakati wa miaka mitano wa Jubilei (2026–2030) wa shirika hilo jijini Dar es Salaam jana, unaolenga kuboresha ustawi na maendeleo endelevu ya watoto, familia na jamii nchini….

Read More

Kocha Yanga aishika pabaya FAF

KOCHA wa Yanga, Mreno Pedro Goncalves inadaiwa anataka kulipeleka Shirikisho la Soka la Angola (FAF) katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kwa kile kinachodaiwa bado linamtambua ni mkufunzi kimkataba, licha ya kuondoka. Taarifa kutoka Angola zinadai FAF, bado linamchukulia Pedro kama kocha mkuu wa timu hiyo ya taifa, huku baadhi ya masharti muhimu yanayohusu…

Read More

Familia inavyoweza kujenga mtindo wa maisha wenye afya

Dar es Salaa. Katika mijadala mingi ya afya ya umma, mara nyingi mada huwa kuhusu hospitali, bima za afya, madaktari na sera za serikali. Hata hivyo, kuna ukweli muhimu ambao mara nyingi hausikiki vya kutosha: safari ya afya njema haianzi hospitalini, bali huanzia nyumbani. Familia ndiyo shule ya kwanza ya maisha. Ndani yake ndipo misingi…

Read More

Ofisa wa Polisi jela miaka miwili kwa mauaji

Iringa. Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemhukumu askari wa Jeshi la Polisi, Sajenti Rogers Mmari (F.4987) wa Kituo cha Polisi Ipogolo, kwenda jela kwa miaka miwili baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila kukusudia. Tukio hilo lilitokea Desemba 14, 2024 Mtaa wa Ipogolo, Manispaa ya Iringa ambapo Mshtakiwa huyo alimpiga marehemu Nashoni Kiyeyeu…

Read More