PWANI KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE IKWIRIRI

Na Khadija Kalili, Kibaha MKOA wa Pwani unaungana na Mikoa mingine nchini kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 Machi 2026 maadhimisho hayo Kimkoa yatafanyika katika Uwanja wa Ujamaa wa Ujamaa, Kata ya Umwe, Tarafa ya Ikwiriri, Halmashauri ya Mji Rufiji. Mratibu wa maadhimisho hayo Mkoa wa Pwani, Roseline Kimaro, amesema mgeni rasmi anatarajiwa kuwa…

Read More

Nani kujaza nafasi ya Kiongozi Mkuu wa Iran?

Kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei katika mashambulizi ya anga ya Marekani na Israel, kumeiweka Iran njia panda wakati uongozi wa juu wa nchi hiyo ukianza mchakato wa kumtafuta mrithi wake. Viongozi kadhaa waandamizi waliokuwa karibu na Khamenei pia wameripotiwa kuuawa katika shambulizi hilo, akiwemo mshauri wake mkuu wa usalama, Ali Shamkhani,…

Read More

Piga Pesa Mechi Zote na Meridianbet Leo

Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu hapa suka jamvi lako sasa na uanze kubashiri hapa. LIGUE 1 kule Ufaransa itaendelea Lens atamenyana dhidi ya Metz ambao wapo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji anahitaji ushindi siku ya leo baada…

Read More

Kafulila – ”Kardinali Pengo Aliamini Umoja wa Kitaifa Bila Kujali Upepo wa Kisiasa”

Bakari Mahundu February 26, 2026 0 Comments Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema aliyekuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini, Kardinali Polycarp Pengo, atakumbukwa kama kiongozi wa dini aliyeamini na kusimamia umoja wa kitaifa bila kujali upepo wa kisiasa wa wakati husika. Kafulila amesema Kardinali Pengo…

Read More