Majeraha yavuruga mipango ya Yanga kutetea ubingwa

UNA mabao ya Yanga yapo nje kutokana na mitambo ya mabao kupata majeraha na kupewa muda wa kupumzika ili kutibiwa irejee kwenye ufiti. Kukosekana kwao kumechambuliwa na watalamu jinsi inavyoleta athari hasi. Katika mechi 15 Yanga imeshinda 11, sare nne, inamiliki mabao 31, imefungwa mawili, ina pointi 37. Kati ya mabao hayo Prince Dube kafunga…

Read More

Ripoti ya Kerry ya Taste Charts 2026 Yaoyesha Ladha za Tangawizi, Ukwaju na Mango Chilli Kinara Mabadiliko ya Ladha Barani Afrika

NAIROBI, KENYA. Kampuni ya Kerry Group, kinara wa kimataifa katika masuala ya ladha na lishe, imezindua ripoti ya Kenya 2026 Taste Charts, ikionyesha mabadiliko makubwa katika chaguo za ladha za watumiaji barani Afrika. Ripoti hizi mpya, zinazohusisha nchi 78 barani Afrika zikiwemo Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, na Zambia, zinaonyesha kuwa watumiaji wa Afrika sasa wanazidi kuhama kutoka kwenye ladha za kawaida za vyakula…

Read More

Mlipuko wa drone watikisa uwanja wa ndege Dubai

Dar es Salaam. Hali ya taharuki imetanda katika jiji la Dubai huko Falme za Kiarabu baada ya tukio la mlipuko mdogo kuripotiwa karibu na barabara ya kurukia na kutua ndege katika Uwanja wa Kimataifa wa Dubai. Tukio hilo limesababisha kusimamishwa kwa muda kwa baadhi ya safari za ndege. Taarifa za awali zinaeleza mlipuko huo umehusishwa…

Read More

SAME UTALII FESTIVAL YAWAINUA WANANCHI KIUCHUMI

******** Wananchi wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wamewaomba viongozi kuhakikisha tamasha la utalii la Same Utalii Festival linafanyika kila mwaka kutokana na mchango wake mkubwa katika kukuza uchumi wa jamii. Wito huo umetolewa leo na kina mama lishe wakati wa joggin ya kuhamasisha tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Aprili 10 hadi 12 mwaka huu, likiwa…

Read More

Othman: Mazungumzo kutafuta mwafaka Zanzibar yamepiga hatua

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema kuna hatua kubwa ya mafanikio kuhusu mazungumzo ya kisiasa ya kutafuta suluhu ya mgogoro uliopo Zanzibar. Vyama vya ACT- Wazalendo na Chama cha Mapinduzi (CCM) vipo katika mazungumzo ya kutafuta mwafaka wa kisiasa baada ya uchaguzi wa Oktoba 29,2025, uliolalamikiwa na chama hicho kikuu cha…

Read More