Kihongosi aonya viongozi wanaodhulumu wananchi

Itilima. Mwananchi wa Kijiji cha Lagangabilili wilayani Itilima, mkoani Simiyu, Mzee Majija Madata amewasilisha malalamiko kwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akidai kudhulumiwa shamba lake na mmoja wa viongozi wa CCM katika ngazi ya wilaya mkoani Shinyanga. Kihongosi yupo mkoani Simiyu tangu Machi 7, 2026 kwa ziara…

Read More

Mvutano wazuka mabasi kuhamishiwa kituo cha Kange Tanga

Tanga. Mvutano umeibuka katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Tanga (RCC) baada ya wajumbe kutofautiana kuhusu mpango wa kuhamishia mabasi ya abiria yanayokuwa katikati ya jiji kwenda kwenye kituo kikuu cha mabasi cha Kange. Kikao hicho kilikuwa kikijadili mapendekezo ya makadirio ya bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027. Katika mitazamo miwili tofauti,…

Read More

Serikali kuimarisha uwezo wa maofisa uvuvi

Bagamoyo. Serikali imezindua rasmi mafunzo ya siku tano kwa maofisa uvuvi na wakaguzi wa mazao ya uvuvi wapatao 25 kutoka ukanda wa Bahari ya Hindi, katika juhudi za kuimarisha sekta ya uvuvi ili ichangie zaidi katika uchumi wa Taifa. Mafunzo hayo, yanayoendelea mkoani Pwani, yameandaliwa kwa ushirikiano kati ya Shirika la Chakula na Kilimo Duniani…

Read More